Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

Mimi sio mwalimu lakini msipende kuwaona walimu kama takataka
Kwa taarifa tu mwalimu ni moja ya watumishi wanaolipwa vizuri tu ukilinganisha na Kada zingine
Na sio walimu tu wanaouliza mishahara ni wafanyakazi wote ukitaka kuliona hilo ingia magroup ya WhatsApp ya makazini kwao

Mwisho wa yote hela ni hela tu, sio kila mmoja anauliza mshahara sababu ana njaa, mwingine anatamani mshahara utoke afanye kitu alichopanga alichokitamani sana kama kumalizia kaujenzi kwenye Nyumba yake au ametembea Kwa miguu sana sasa umebaki mshahara mmoja tu akamilishe hela akavute mkoko wake

Lakini pia sio kila anayeuliza ni mtumishi kuna watu wanawadai watumishi hivyo anajihakikishia ili akadai chake


Logics ni nyingi tukiacha dhana moja tu ya njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niko nje ya mada kidogo : kama walimu wanamagroup ya whatsap basi nishaibiwa dahhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watu kama hao usitumie nguvu nyingi kuwajibu, wana daraja la kwanza ya upumbavu, kama anatamani kupiga debe stand kuliko kuwa mwalimu,huyo ni mkweche mwache tu.
Wewe ni mpumbavu ! Kama hujapata watoto makuombea kwa mola upate then siku umezaa watoto njoo u tag hii meseji,

kama unawatoto tayari na unaona vichwa vyao kama vinayumba upepo ukipiga usiwachape wala kuwashangaa maana wamerithi kwako, nakuhakikishia akili zao zitakuwa hivyo hivyo mpaka pale akili zako zitakapokomaa , pole sana


kila la heri kwenye upigaji debe na uzao wa watoto wako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lilikuwa mshahara umetoka au bado,tunasubiria majibu...
 
Aliekuambia nina njaa ni nano?Na aliekuambia kuulizia mshahara ni aibu ni Mani?By the way ,kazi yangu ni yangu yako hainihusu.Be wise acha umburula
Boss, achana na hawa wajinga, naona hapo kp, ww unafundisha masuala ya procurement hapo kp karibu na mnazi mmoja sijui ndio mnazi mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWAHIYO MSHAHARA UMETOKA AU BADO HILO NDIO LA MSINGI JAMANI
 
Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Siku zote ukitoka huwa Nani anakupa taarifa, we ndo unaowaabisha walimu wenzako unakuwa km ni Mshahara wako WA kwanza toka uajiriwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi stress ni kwasababu ya ugumu wa maisha mtu anauliza hiki anajibiwa shit!

Aisee tuvumiliane hivyohivyo.
 
Wengi wanachekelea mshahara kwasababu hawajawah kujiajiri waone matunda yake.

Jaribu leo kufungua hata kijiwe cha kurepair bodaboda tu, tafta vijana 2 toka Veta wape kaz hapo. Fungua na kaduka ka spare parts ka mtaji hata wa milioni 2 tu uone
 
Mimi sio mwalimu lakini msipende kuwaona walimu kama takataka
Kwa taarifa tu mwalimu ni moja ya watumishi wanaolipwa vizuri tu ukilinganisha na Kada zingine
Na sio walimu tu wanaouliza mishahara ni wafanyakazi wote ukitaka kuliona hilo ingia magroup ya WhatsApp ya makazini kwao

Mwisho wa yote hela ni hela tu, sio kila mmoja anauliza mshahara sababu ana njaa, mwingine anatamani mshahara utoke afanye kitu alichopanga alichokitamani sana kama kumalizia kaujenzi kwenye Nyumba yake au ametembea Kwa miguu sana sasa umebaki mshahara mmoja tu akamilishe hela akavute mkoko wake

Lakini pia sio kila anayeuliza ni mtumishi kuna watu wanawadai watumishi hivyo anajihakikishia ili akadai chake


Logics ni nyingi tukiacha dhana moja tu ya njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tukiuliza mishahara si haki yetu! Nan alimwambia awe bwabwa shulen wivu tu huo asomeshe watoto sasa atuache watumishi tule matunda ya jasho letu na wataisoma namba dadeq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Hapo rais anaingiaje? Acheni ushamba wa kumtukuza binadamu mwenzio
 
Unasoma primary, secondary Hadi chuo then unasomea ualimu Kisha unakuja kutumikia shule,Yani kwamimi naona kuwa mwalimu ni kusoma au kuwa mwanafunzi kwa Mara ya pili.Samahanini waalimu
 
Back
Top Bottom