Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Najaribu kuvaa kiatu cha kusubir mshahara kila mwezi, naona hakinitoshi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa mjasilia..Najaribu kuvaa kiatu cha kusubir mshahara kila mwezi, naona hakinitoshi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine
wewe utakuwa punguani aisee unaandika uharo
Heshima yako Madam Hannah linapokuja kwenye suala la kusimamia ukweli huwa nakuelewa sana...Tulia wewe. Mimi nimefaulu form 4, nimefaulu form 6, nikatoka na 1st class chuo.
Bora niwe mwalimu kuliko kuwa mpiga debe stand
Nimekumbuka. Ila nafurahi wewe sio mtu wa kushikilia vitu moyoni.Heshima yako Madam Hannah linapokuja kwenye suala la kusimamia ukweli huwa nakuelewa sana...
Nakumbuka kuna kipindi tulitofoutiana humu ndani but nashukuru tulimaliza tofouti zenu na maisha yakaendelea...
Though umeadimika sana kwa sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri, sometimes inabidi tu upitie mada kimyakimya. I remember kwenye replies zako ulisema uko kwa Makonda...Nimekumbuka. Ila nafurahi wewe sio mtu wa kushikilia vitu moyoni.
Nipo sema huwa sichangii Mara nyingi mpaka nione kitu cha kuchangia. Muda mwingi nasoma.
Ndo leo tumeona mweziNi kweli mshahara wa Nanjilinji huko bado, emdeleeni kuvuta subira.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni bure kabisa! kwani hilo linaondoa ukweli kuwa kila amfundishae mwenzie ni mwalimu? au wewe kwa ufinyu wa akili yako unadhani kila mwalimu ni budi awe amesomea chuo? KKK inasomeshwa hata chini ya mwembe na huyo anaekusomesha ni mwalimu wako. Hata huko kupiga debe kuna waliokufundisha na wakakupa muda wa mazoezi hapo hapo! hao nao ni walimu wako.
Nawe endelea kubwabwaja tu! siku ukiumwa ndio utajua uzuri wa kazi yako!