dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
Hahahaha..! [emoji1][emoji1]Anaona wivu kisa eti tupo nyumbani na tunalipwa hela. Ana wivu wa kishamba.
Jamani corona ipo Tusikilze ushauri kutoka kwa wataalamu
Hahahaha..! [emoji1][emoji1]Anaona wivu kisa eti tupo nyumbani na tunalipwa hela. Ana wivu wa kishamba.
vitoto vilivyo fail form four ivyo .Unamwambie nani sasa? Umeulizwa maoni yako?
Tupishe huko
Hajui kuwa kila biashara hu expire mjinga sana uyoHongera kwako uliejiajiri.Kumbuka kimfaacho MTU ni chake.So kinatosha au hakitoshi,sijaja kwako kukuomba chochote.So mind ur own business mkuu
Tulia wewe. Mimi nimefaulu form 4, nimefaulu form 6, nikatoka na 1st class chuo.
Akwendreee!
Wewe ulifaulu kumbe?Sasa mbona unaishi maisha ya kudanga?
Mkuu hajielewi huyoTulia wewe. Mimi nimefaulu form 4, nimefaulu form 6, nikatoka na 1st class chuo.
Mbona povu ? Yy huo Ni mtazamo wakeUnamwambie nani sasa? Umeulizwa maoni yako?
Tupishe huko
Kwanini asiamini. Tena alivyoandika ndiyo naitwa hivyo. "Madame Hannah" hadi mtaani ninapoishi.
Madame mm Nina first class pia,, nakuja PM...Tulia wewe. Mimi nimefaulu form 4, nimefaulu form 6, nikatoka na 1st class chuo.
Mtazamo wake? Alikuwa nje ya Mada. Uzi haujauliza mtazamo binafsi aache kujichetua.Mbona povu ? Yy huo Ni mtazamo wake na Mimi naona sio mbaya , ukisikia kauli Kama inakuwa changamoto kwako ( kwetu)
Karibu kama na wewe pia ni mwalimu.
Hahaaa umemuweza et!!Hongera kwako uliejiajiri.Kumbuka kimfaacho MTU ni chake.So kinatosha au hakitoshi,sijaja kwako kukuomba chochote.So mind ur own business mkuu