Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

Wengi wanachekelea mshahara kwasababu hawajawah kujiajiri waone matunda yake.

Jaribu leo kufungua hata kijiwe cha kurepair bodaboda tu, tafta vijana 2 toka Veta wape kaz hapo. Fungua na kaduka ka spare parts ka mtaji hata wa milioni 2 tu uone
Wote tukijiajiri dunia itakuwaje,wote tunategemeana.Hakuna aliyebora kuliko mwenzake.
 
Naona walimu mmechafukwa! Mshahara wenyewe ...
 
Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Download app za benk.
Siku hizi huna haja ya kwenda jengo LA bank.

Download app tembea na benki yako mfukoni..!!!

Nina miezi 5 sijaenda benki kwasababu ya NMB APP.

Na kama unauliza kwasababu ya kuogopa kukatwa fees ukiuliza Salio basi tambua baadhi ya service kama kuulizia Salio ni BURE kwenye APPs ZAO.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Wengi wanachekelea mshahara kwasababu hawajawah kujiajiri waone matunda yake.

Jaribu leo kufungua hata kijiwe cha kurepair bodaboda tu, tafta vijana 2 toka Veta wape kaz hapo. Fungua na kaduka ka spare parts ka mtaji hata wa milioni 2 tu uone
Sio rahisi kama unavotaka kutuongopea hapa, nani kakuaambia waliojariwa, hawajajiajiri pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom