Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Walimu mna haraka sana duh..Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Babe emu ninunulie fanta kubwa mieAnaona wivu kisa eti tupo nyumbani na tunalipwa hela. Ana wivu wa kishamba.
😀😀😀Ushatoka na mm wa kwangu nishautumia wote bro.
Mshahara as if wote JF wanapokea mshahara kwa jinsi ulivyoandika.Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Mshagara bado mkuu,,,Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Hii tabia ya kuwadharau walimu nyie wehu na vilaza wa hii nchi sijui mna laana hivi bila walimu leo ningejua hata kuandika wengine mlipelekwa shuleni mkiwa mnajikojolea makamasi hamjui hata kufuta leo aliyekutoa huo umbulula eti una mkejeli na kumdharau kweli kama sio una laana we kiazi ni nini kati ya watu wa kuheshimiwa katika nchi ni walimu na madaktari hamjui tu kwa sababu ya laana juzi shule zimefungwa mmewashindwa watoto mnaombwa zifunguliwe waende kufundishwa na hao mnaowadharau sijui kama mna akili kuwanyooshea vidole nyie ni wa kupiga risasi mfe mtu wajinga kabisa
Mkuu niko nje ya mada kidogo : kama walimu wanamagroup ya whatsap basi nishaibiwa dahhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni haki sio dhambi kuulizaHata tukiuliza mishahara si haki yetu! Nan alimwambia awe bwabwa shulen wivu tu huo asomeshe watoto sasa atuache watumishi tule matunda ya jasho letu na wataisoma namba dadeq
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakununulia ngoja niende ATM.Babe emu ninunulie fanta kubwa mie
🤣Bado, nimepita jirani na ATM moja maarufu hapa mjini, sijaona hata mtu mmoja!
Hongereni sana...nianze kuelekea kwa wakala kabisa? 😂😂Nakununulia ngoja niende ATM.
Yaani raha sana namka saa 4 mshahara unaingia kama kawaida.
Ni kweli mshahara wa Nanjilinji huko bado, emdeleeni kuvuta subira.
huko kupiga debe ndio ualimu pia unafundisha abiria gari ya kupanda
Nyuzi nyingine bhanaa!!!Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Kitu na boksi tayariHabarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!