Je, ni kweli Mtu anapaswa kuwa uchi ili apigwe x-ray?

Je, ni kweli Mtu anapaswa kuwa uchi ili apigwe x-ray?

Naomba wajuzi mnieleze ukweli wa hili Jambo. Wife alienda piga , X- ray ya mbavu but akaambiwa avae kanga, but wakati wanapigwa akaambiwa aifungua Ile kanga. Je ni kweli hili Jambo ilipaswa kuwa hivi? Wajuzi tafadhali.
hiyo x ray tu unalialia sasa akifika mda wa kupigwa finga kukaguliwa njia si utakufa ww.. nikushauri nunua x-ray machine yako umfanyie ww tu
 
Naomba wajuzi mnieleze ukweli wa hili Jambo. Wife alienda piga , X- ray ya mbavu but akaambiwa avae kanga, but wakati wanapigwa akaambiwa aifungua Ile kanga. Je ni kweli hili Jambo ilipaswa kuwa hivi? Wajuzi tafadhali.
Hakuna ulazima wa kuvua nguo, anaweza akaambiwa ailegeze katika eneo ambapo Xray inapigwa lakini siyo kuvua.
 
Mkuu acha kukomplicate mambo,nilienda na wife hospitali ya wilaya ya liwale alikuwa na tatizo la mimba kuharibika hivyo ilibidi aingiziwe vidole hadi akaja kulalama kwangu,sasa wewe x-ray umehaha,by the way huyo mkeo ulimkuta bikra? Vipi siku ukijua kaliwa si utajinyonga kabisa,acha kuwekeza maisha yako kwa mtu ambaye mumekutana ukubwani,nakwambia siku inakuja hutosadiki kabisa !!
 
Back
Top Bottom