Je, ni kweli Mtu anapaswa kuwa uchi ili apigwe x-ray?

Je, ni kweli Mtu anapaswa kuwa uchi ili apigwe x-ray?

hiyo x ray tu unalialia sasa akifika mda wa kupigwa finga kukaguliwa njia si utakufa ww.. nikushauri nunua x-ray machine yako umfanyie ww tu
Halafu bahati mbaya itokee amempeleka sasa kwenye hospitali ya serikali na kukutana na vile vidaktari vilivyo kwenye mafunzo ya vitendo!! Aisee atajinyonga.
 
Mkuu acha kukomplicate mambo,nilienda na wife hospitali ya wilaya ya liwale alikuwa na tatizo la mimba kuharibika hivyo ilibidi aingiziwe vidole hadi akaja kulalama kwangu,sasa wewe x-ray umehaha,by the way huyo mkeo ulimkuta bikra? Vipi siku ukijua kaliwa si utajinyonga kabisa,acha kuwekeza maisha yako kwa mtu ambaye mumekutana ukubwani,nakwambia siku inakuja hutosadiki kabisa !!
Haya sasa vihuni vya JF vimeingia toka mafichoni.
 
Tulienda na mtu amevunjika mkono lakini aliambiwa avue zote kufanya x ray ya mkono.

Sijui kama ni mapungufu ya mtoa huduma au ndio utaratibu
 
Back
Top Bottom