Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Aaaaah mkuu....tayari ameshapigwa hiyo X-ray mkuu, haibadilishi kitu tenaNaomba wajuzi mnieleze ukweli wa hili Jambo. Wife alienda piga , X- ray ya mbavu but akaambiwa avae kanga, but wakati wanapigwa akaambiwa aifungua Ile kanga. Je ni kweli hili Jambo ilipaswa kuwa hivi? Wajuzi tafadhali.