Aaaaah mkuu....tayari ameshapigwa hiyo X-ray mkuu, haibadilishi kitu tenaNaomba wajuzi mnieleze ukweli wa hili Jambo. Wife alienda piga , X- ray ya mbavu but akaambiwa avae kanga, but wakati wanapigwa akaambiwa aifungua Ile kanga. Je ni kweli hili Jambo ilipaswa kuwa hivi? Wajuzi tafadhali.
X-ray ya chuma ni tofauti na xray ya mwili..X-rays xinapita Hadi kwenye chumq vipi kanga iwe kikwazo
Inaweza ikawa sio sahihi ila ni kawaida....So ilikuwa sahihi Kwa utaalamu wako?
Ni sahihiKuwa specific mkuu nipo siriaz
Namwelewa mtoa mada consern yake ni kwamba mionzi ya x-ray haipiti kwenye kanga wakati ni nguo nyepesi?Naomba wajuzi mnieleze ukweli wa hili Jambo. Wife alienda piga , X- ray ya mbavu but akaambiwa avae kanga, but wakati wanapigwa akaambiwa aifungua Ile kanga. Je ni kweli hili Jambo ilipaswa kuwa hivi? Wajuzi tafadhali.
πππWew jamaaLa haula! Piga magoti chini na ulie kwa uchungu huku ukijipiga piga kifuani.
Hakuna ulazima wa kuvua nguo zote na hicho kitu sijawahi sikia. Sababu kuna nguo huwa wanapewa. Huyo jamaa bila shaka alikuwa na... wazungu wanaita "Ulterior Motives"
Ugonjwa ndio iliyosababisha uwepo hapo kwaiyo swala la ulazima au siyo tii shart la daktari mke aponeNataka kujua..if kulikuwa na ulazima