Je, ni kweli Mtu anapaswa kuwa uchi ili apigwe x-ray?

hiyo x ray tu unalialia sasa akifika mda wa kupigwa finga kukaguliwa njia si utakufa ww.. nikushauri nunua x-ray machine yako umfanyie ww tu
Halafu bahati mbaya itokee amempeleka sasa kwenye hospitali ya serikali na kukutana na vile vidaktari vilivyo kwenye mafunzo ya vitendo!! Aisee atajinyonga.
 
Haya sasa vihuni vya JF vimeingia toka mafichoni.
 
Tulienda na mtu amevunjika mkono lakini aliambiwa avue zote kufanya x ray ya mkono.

Sijui kama ni mapungufu ya mtoa huduma au ndio utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ