Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Kweli jirani haitamchosha. Itamsaidia sana.
Halafu kwa mwenzie akimtembelea afanye kama nilivyoshauri.
Ahsante mpedwaa km una.aanisha ulichoandika
 
Mwanamke mwenye kitambi ni shida sana kunako 6X6 maana kifo cha jamaa unaona kama kuna kagunia kamewekwa katika tumbo. Ukute kafungasha, hapo ni lazima utafute ngazi ili kibamia kiweze kuingia. Mwanamke lazima upige vita kitambi CC Jovitha
Oky
 
Mi sijali kitambi wala nn . La muhimu pochi manyoya
 
tatizo wadada wanapenda nyama choma,chipsi yai...bia ..michemsho... sembe maini lost,ubwabwa maharage.....
kwa mazingira haya unakosaje kitambi..??.....omba mungu ujaaliwe TAKO walau litaficha aibu ya kitambi kdg...!!..
 
Wala siyo mm ila mleta mada ni Mimi
Wengi hatujuani hapa JF, lakini the way unavyojitahidi kuficha na kujibu posts mbali mbali juu ya kitambi chako, ndivyo unavyozidi kuuthibitishia ulimwengu kuwa mwenye kitambi ni Jovitha, kubali au kataa.
The bottom line: punguza kufakamia misosi na bia za offer! Fanya mazoezi kwa sana.
 
Cjui kwa wengine ila bnafc sion tatzo mana nlienae anacho pia tho cha kawaida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…