simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 378
Maji mengi?Si kweli,tumbo linatoka ukiamua,afanye mazoez ya tumbo aache uvivu kabisa.naamin ukifanya mazoez linatoka,pia akiamka asbuh kitu cha kwanza anywe maji ya vuguvugu glass kama mbili.
Apendelee kunywa sana maji kuliko kula.
Happy with my english figure[emoji28][emoji1][emoji106]mm nakunywa mpk three to four litres per day