Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Si kweli,tumbo linatoka ukiamua,afanye mazoez ya tumbo aache uvivu kabisa.naamin ukifanya mazoez linatoka,pia akiamka asbuh kitu cha kwanza anywe maji ya vuguvugu glass kama mbili.
Apendelee kunywa sana maji kuliko kula.

Happy with my english figure[emoji28][emoji1][emoji106]mm nakunywa mpk three to four litres per day
Maji mengi?
 
Habari za mida hii wapedwaaa???

Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)

Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...

......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????
Mwambie anitafute huyu nimtrain 3 months likiendelea basi aende kwenye maombi
 
Kitambi kwa mwanamke ni dalili ya kuzeeka atakuwa kishazaa na mashine ishachoka. Not good for moangers like us
 
Kitambi kwa mwanamke ni sawa na kufungua duka la bange nje ya kituo cha polisi.... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nawapenda sana.wenye wanawake wenye vitambi.tuwasiliane 0654031078
 
Mi nawapenda sana wanawake wenye vitambi.tuwasiliane 0654031078.
 
Si kweli,tumbo linatoka ukiamua,afanye mazoez ya tumbo aache uvivu kabisa.naamin ukifanya mazoez linatoka,pia akiamka asbuh kitu cha kwanza anywe maji ya vuguvugu glass kama mbili.
Apendelee kunywa sana maji kuliko kula.

Happy with my english figure[emoji28][emoji1][emoji106]mm nakunywa mpk three to four litres per day
Mwanamke mwenye kitambi ni shida sana kunako 6X6 maana kifo cha jamaa unaona kama kuna kagunia kamewekwa katika tumbo. Ukute kafungasha, hapo ni lazima utafute ngazi ili kibamia kiweze kuingia. Mwanamke lazima upige vita kitambi CC Jovitha
 
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]kama gunia.mazoez muhim sn daily uvivu ndo unawaponza
 
Hahaha
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kama gunia.mazoez muhim sn daily uvivu ndo unawaponza
Vitambi vyote ni kula kula (wanasingizia kuzaa = mbona Zari yupo vizuri pamoja na kuwa na watoto 5?) asikwambie mtu. Unafakamia makuku, michemsho, mabia etc http://www.mwananchi.co.tz/habari/F...ama-uzembe/1597578-3927950-12n2mrr/index.html
 
Back
Top Bottom