Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

hivi maji yanapunguza tumboee
 
kuna vijitambi fulani hivi vya kishikaji powa tu,



Hiki nacho tuite kitambi[emoji15] [emoji15] wakati ni kimuinuko cha raha tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila hatafuti bwana anataka ushauri
Akuje ghetto, maana gheto yangu ni kama CONSULTATION ROOM
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Akuje ghetto, maana gheto yangu ni kama CONSULTATION ROOM
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji121]
 
Apunguze kula, afanye zoezi bila kusahau mboga na matunda kwa wingi. Kitambi kitaondoka naturally
 
Wadada picha za Insta huwaponza. Kila mtu mjini anaishi bar. Mahotelini. Nk. Picha kwao hunoga wakiwa wanakula bia na manyama na Chips. Sasa kila mwanamke maarufu ana kitambi. Afu mazoezi kidogo anatumia tena bia. Jamani ukweli kitambi kinapunguza kabisa mvuto. Mnavaaa suruali. Apa mbele hata hapaeleweki pametuna nini. Fanyeni mazoezi. Lakini pia Chips na mabia ya bure muache
 
Jovitha, rafiki yako ameanza mazoezi tuliyokushauri?
Anakunywa maji kwa wingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…