Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
pole kwa banOkay nimekupataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole kwa banOkay nimekupataa
Mods hawakukupa info??A see ahsante bhanaa alfu unajua sijui kosa languuu
Kwani kila kitambi kinatokana na michemsho? Wengine ni soda na chipsiAache pombe na michemsho
😀😀😀😀😀Asante kwa Testimony shukran sana Michael kwa kutuwakilisha kwenye mgegedo[emoji41] [emoji41]
Hapa hakuna jibu la swali kabisa maana swali ni kwamba JE WENYE VITAMBI HAWANA MVUTO? jibu ulilotowa ni suluhisho la kitambi.Si kweli,tumbo linatoka ukiamua,afanye mazoez ya tumbo aache uvivu kabisa.naamin ukifanya mazoez linatoka,pia akiamka asbuh kitu cha kwanza anywe maji ya vuguvugu glass kama mbili.
Apendelee kunywa sana maji kuliko kula.
Happy with my english figure[emoji28][emoji1][emoji106]mm nakunywa mpk three to four litres per day
Mchaga uyuMwambie ajitahidi kufanya zoezi na kuacha kula kula hovyo bila mpangilia kitapotea![]()
Kwanini mkuu?Kwani wachaga huwa wanaendekeza vitambi.Mchaga uyu
Wachaga wengi ndo wenye vitambi maana wanaendekeza sana kula ovyo watu hata kama unaenda msibani wanarazimisha razima gari isimame bar wale nyamaKwanini mkuu?Kwani wachaga huwa wanaendekeza vitambi.
Ohoooo!!!Wachaga wengi ndo wenye vitambi maana wanaendekeza sana kula ovyo watu hata kama unaenda msibani wanarazimisha razima gari isimame bar wale nyama
ningekuwa sio mnene tungekuwa wote siku nyingiA round of applause to all slim ladies out there!
Okay kwahiyoo hivyo vyakula vinatakiwa viwejeSalam kwa mtoa mada ,nimejaribu kupitia kuptia majibu toka kwa wana jamvi ila naona bado hamjampa njia iliyo sahii kuweza kulikabili tatzo alilonalo! .Kwanza tuwe wakweli kuwa sisi wanaume hatuvutiwi na wanawake wenye matumbo makubwa (vtambi) na ndio maana ukifanya tafiti kwa wanaume walio katka ndoa na wana wanawake wanene au wenye vtambi hakika wanaume hao watakuwa na michepuko ambayo ni moddle.
Zipo sababu nyingi za mwanamke kuwa kitabi ila sababu kuu ni kutakuwa na elimu sahii ya chakula,hakika tumekuwa walaji wa kujaza matumbo na si kula kiafya! Hivyo ili tuweze kuikomboa jamii yetu ni muhimu tujielekeze katka utoaji wa elimu iliyo sahii juu ya vyakula nk.Issue ya mazoezi binafsi siitangulizi sana cos wapo wanaoshida gym na bado hawapungui but uhakika chakula ni suluhisho la kudumu.