Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Si kweli,tumbo linatoka ukiamua,afanye mazoez ya tumbo aache uvivu kabisa.naamin ukifanya mazoez linatoka,pia akiamka asbuh kitu cha kwanza anywe maji ya vuguvugu glass kama mbili.
Apendelee kunywa sana maji kuliko kula.

Happy with my english figure[emoji28][emoji1][emoji106]mm nakunywa mpk three to four litres per day
Hapa hakuna jibu la swali kabisa maana swali ni kwamba JE WENYE VITAMBI HAWANA MVUTO? jibu ulilotowa ni suluhisho la kitambi.
 
Hebu tuone picha yake, kama ni kama changu, hamna shida, kikizidi ndio taabu.
 
Chips bia za bure michemsho kushindilia vipolo na uvivu wa mazoezi kula hovyohovyo
 
Mwambie ajitahidi kufanya zoezi na kuacha kula kula hovyo bila mpangilia kitapotea
ca6bab9d0a06a66bc223240be8b30407.jpg
Mchaga uyu
 
Salam kwa mtoa mada ,nimejaribu kupitia kuptia majibu toka kwa wana jamvi ila naona bado hamjampa njia iliyo sahii kuweza kulikabili tatzo alilonalo! .Kwanza tuwe wakweli kuwa sisi wanaume hatuvutiwi na wanawake wenye matumbo makubwa (vtambi) na ndio maana ukifanya tafiti kwa wanaume walio katka ndoa na wana wanawake wanene au wenye vtambi hakika wanaume hao watakuwa na michepuko ambayo ni moddle.

Zipo sababu nyingi za mwanamke kuwa kitabi ila sababu kuu ni kutakuwa na elimu sahii ya chakula,hakika tumekuwa walaji wa kujaza matumbo na si kula kiafya! Hivyo ili tuweze kuikomboa jamii yetu ni muhimu tujielekeze katka utoaji wa elimu iliyo sahii juu ya vyakula nk.Issue ya mazoezi binafsi siitangulizi sana cos wapo wanaoshida gym na bado hawapungui but uhakika chakula ni suluhisho la kudumu.
 
Okay kwahiyoo hivyo vyakula vinatakiwa viweje
 
Back
Top Bottom