Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Mwambie achemshe maji achanganye na tangawizi ila Ile mbichi sio ya unga hayo maji anaweza hifadhi kwenye chupa ya chai
Matumizi :asubuhi kabla hajala chochote anywe kikombe kimoja cha hayo maji ila aweke limao vijiko viwili na asali kijiko kimoja afanye hivyo hivyo mchana na jioni

Njia nyingine :anunue cabbage atoe yale maganda bila kuyakata ayapashe moto kidogo bila kuweka chochote yawe yenyewe baada ya hapo aache yapoe then ayapange tumboni na afunge tumbo na kanga au mtandio alale nayo hadi asubuhi ataona maajabu

Ila mwambie asiwe anakula sana na apunguze vyakula vya mafuta

Kuna zoezi pia la kukaza misuli ya tumbo ili lisitepete ni muhimu pia akiwa anafanya
 
mi mwanamke asie na kitambi namuona kituko, wenye vitambi tutafutane, mimi najua jinsi ya kuwakunja mfike kileleni. kuna mto maalum unaulalia wala kitambi hakionekani, ub.o.o unakukuna mpaka chooni *****
 
ni kweli wengine hawapendi vitambi ila yakupasa utambue kuwa vipo vitambi vya maumbile na vya kujitakia
mwambie dada hao wote wanaolisema tumbo lake si type yake atakuwa ana tatizo so wanashindwa kumuambia ukweli tumbo linakuwa kisingizio
coz mwanamke anayestahili kuwa mke muhimu huwa ni tabia si maumbile yake
 
Teh teh kumbeee
 
Mwanamke mwenye kitambi siyo anapoteza mvuto. Hana mvuto ni vile mtu keshaoa anapotezea lakini kiukweli hawavutii kabisaaa.
 
kuna uwezekano una tatizo na wewe pia ndio nyie mkeo akinenepa unamnyanyapaa kisa kanenepa jitafakari mpendwa
uzuri wa mke ni tabia sio jumbile lake
 
Ayapashe kwa kuchemsha au?
 
Mwanamke anapojifungua nahisi tumbo huwa limebaki na uwazi mkubwa kutokana na mimbaa sasa anapojifunguaa ili kuzibaa gap anashindiliaa mitori mingi na ujii kitu kinachopelekea tumbo kubaki mbelee.
 
Mwanamke anapojifungua nahisi tumbo huwa limebaki na uwazi mkubwa kutokana na mimbaa sasa anapojifunguaa ili kuzibaa gap anashindiliaa mitori mingi na ujii kitu kinachopelekea tumbo kubaki mbelee.
Hapana sio kweli, tumbo la chakula liko vile vile, sema baada ya kujifungua ngozi za tumbo huwa zimevutika kutokana na mimba, ilo ziweze kurudi kama mwanzo huchukua muda mrefu, ndio maana utakuta kwa wanao elewa, mwanamke baada ya kujifungua hufungwa kanga (mkaja) tumboni kwa muda usiopungua mwezi, na mbinu hii kwa kweli husaidia kurudisha nyama za tumbo zilizovutika.
 
Ayapashe kwa kuchemsha au?
Hayo maganda ya cabbage asichemse ni sufuria tu ikishapata moto anayaweka na yenyewe na anakua anayageuza geuza ataona kama yanatoa mvuke hapo yatakua tayari ila yasiungue
 
Kitambi hakimpendez mwanamke kiukwel mm pia nakipiga vita vibaya mno,njia kubwa yakupunguza kitambi ni kupunguza kula tena sana sana vyakula vya wanga wakati wa usiku aache kabisa atumie mboga mboga na matunda wakat wa usiku na maji kwa wingi kitambi kitaisha kabisa
 
Afanye mazoezi awe slim kwa afya na muonekano mzuri sio mapenzi hao waliokuwa wanamsema hawakumpenda kabisa maana atakuja kuzaa watoto mambo yanachange kurudi kuwa kama awali ni bahati sana na inachukua muda na efforts za kutosha.Mtu ampende alivyo tu ajiamini asijitese
 
Weka picha yake basi nijue pakuanzia kutoa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…