Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Hamjui ubora na raha nyie. Bakini hapo. Sasa kama in mkeo ? Utamuacha?
 

Oky ugali wa dona ni wanga
 
Hamjui ubora na raha nyie. Bakini hapo. Sasa kama in mkeo ? Utamuacha?
Hujaona MTU huko nyuma kasema ana mpnz wake nae anakitambi anamuhesabia Siku zake
 
Hamjui ubora na raha nyie. Bakini hapo. Sasa kama in mkeo ? Utamuacha?
Sintamuacha ila ajue ananikera na ananifanya nikose hamu yakufanya tendo la ndoa ipasavyo,matokeo yake nianze kuchepuka kwq wadada wa chuo au wengine wasiokua na vitambi,kwanini tufike huko namimi kuona sex kama adhabu,kiukweli mavitambi siyapendi kabisa.
 
M
Msaidie apungue
 
M

Msaidie apungue
Wengine wabishi,hasahasa kama mmefunga ndoa,matokeo yake naye akiwa hapati mgegedo vizuri ndani ya ndoa kwasababu hatoi hamasa kwa kitambi chake hicho,anajirahisisha kwa bodaboda au vujana wa saloon,yeye anadhani mimi nimeishiwa nguvu za kiume,kumbe tatizo nu yeye ba kijitambi lake,matokeo yake mimi nakua kwenye hatari yakupata UKUMWI huko ninakofuata wasiokua na vitambi na yeye pia anaenda kuutafuta huo UKIMWI kwa vijana au wazee ambao wanamfanya vile kwa muda tu halafu anarudi kwangu.Mwisho wa siku tuache watoto wakiwa yatima,sipendi mavitambi mimi,yaani basi tu,kungekua na utabiri wakujua mke ninayemuoa atakuja kua na kitambi halafu mbishi,nisingekuja kuoa team vitmbi mimi.
 


Demu kuwa na kitambi haipendezi hata kidogo, yaani inakuwa kama unatoka kimapenzi na mwanaume mwenzio. Je huyo rafikiyo ana watoto au ni kitambi zembe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…