Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambi hakimpendez mwanamke kiukwel mm pia nakipiga vita vibaya mno,njia kubwa yakupunguza kitambi ni kupunguza kula tena sana sana vyakula vya wanga wakati wa usiku aache kabisa atumie mboga mboga na matunda wakat wa usiku na maji kwa wingi kitambi kitaisha kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapanaaa
Sintamuacha ila ajue ananikera na ananifanya nikose hamu yakufanya tendo la ndoa ipasavyo,matokeo yake nianze kuchepuka kwq wadada wa chuo au wengine wasiokua na vitambi,kwanini tufike huko namimi kuona sex kama adhabu,kiukweli mavitambi siyapendi kabisa.Hamjui ubora na raha nyie. Bakini hapo. Sasa kama in mkeo ? Utamuacha?
Msaidie apungueSintamuacha ila ajue ananikera na ananifanya nikose hamu yakufanya tendo la ndoa ipasavyo,matokeo yake nianze kuchepuka kwq wadada wa chuo au wengine wasiokua na vitambi,kwanini tufike huko namimi kuona sex kama adhabu,kiukweli mavitambi siyapendi kabisa.
Wengine wabishi,hasahasa kama mmefunga ndoa,matokeo yake naye akiwa hapati mgegedo vizuri ndani ya ndoa kwasababu hatoi hamasa kwa kitambi chake hicho,anajirahisisha kwa bodaboda au vujana wa saloon,yeye anadhani mimi nimeishiwa nguvu za kiume,kumbe tatizo nu yeye ba kijitambi lake,matokeo yake mimi nakua kwenye hatari yakupata UKUMWI huko ninakofuata wasiokua na vitambi na yeye pia anaenda kuutafuta huo UKIMWI kwa vijana au wazee ambao wanamfanya vile kwa muda tu halafu anarudi kwangu.Mwisho wa siku tuache watoto wakiwa yatima,sipendi mavitambi mimi,yaani basi tu,kungekua na utabiri wakujua mke ninayemuoa atakuja kua na kitambi halafu mbishi,nisingekuja kuoa team vitmbi mimi.M
Msaidie apungue
Nini tena??
Habari za mida hii wapedwaaa???
Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)
Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...
......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????