Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani ukila hovyo ndiyo unakuwa na kiitambii
Saa kumi na mbili unaamka na likipora la wali na maharage kwann kitambi kisikutoke bado ukifika kwa job isikatize offer mbele yako unayo!
 
Saa kumi na mbili unaamka na likipora la wali na maharage kwann kitambi kisikutoke bado ukifika kwa job isikatize offer mbele yako unayo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] embu niorodheshee kwa Siku nzima mtu anatakiwa ale Milo mingapi na kwa mda ganii.....???
 
Wanaume mkuje, msemee kweli kitambi hamtaki au mbwembwe....

Best, kwangu mie kitambi nakipiga vita kuliko viroba!!!! Kwangu mie sitaki hata kuiona mwaya...
Lovie...
Just one word..

Nakupenda sakayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…