kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,177
- 1,721
Hahahaaaaa!!!![emoji12] [emoji13]Okay ahsanteee kwa ushauri wakoo mzuriii
Ulivyojielezea sjui uk/franch figure masimango hayo jamn[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1][emoji28]Nmetoa ushauri jamani,masimango yapo wapi
Nikweli wapoo lkn kwa mwanaume kuwa na kitambii huwa inachukuliwa km nikawaidaa ila ke mmmhMwambie ajiamini na kujipenda mwili wake kama atafanya mazoezi afanye kwa afya ila sio kwa kujistress kwamba ili kitambi kipotee. Asijisumbue kwenye mapenzi kwa maana hata wakaka wenye vitambi wapo
Lkn mungu hakuumba mtu akiwa na kitambiidah mademu michepuko mna mambo mnatamani mjitengeneze wenyewe.hivi unajua uzuri wa mke sio sura bali ni tabia.wanawake mama zetu ila mna laana ya kumkosoa muumba na hii hamtopona siku ya hesabu.mnapenda kukosoa maaumbile ya wenzenu kuliko kukosoa tabia
[emoji23] [emoji23] [emoji276] [emoji276] [emoji144] [emoji144] Aisee, ya kweli hayoWaulize wenye picha zanguu km nakitambia au wale walio nigegeda humu Jf km wapooo....je walinikuta na kitambii????
Cc:Michael
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] da aaaa umenifanya nichekeee nanukuu:::"siyo wote wanakunywaa fanta wengine wanakunywa clubsoda na wanaenjoy""" teh teh[emoji23]Mhhh hawakumpenda tu. Mie ninacho na nimeolewa, na mume wangu ananipendaaaaaaaaa, na mtoto nimezaaa, na naongeza mwingine sooon! Na mume wangu hastuki na habari hana. Mwambie kama kitambi hakitoko basi yy akae tu atatokea wa kumpenda tu na atamwoa na kitambi chake. Mwanaume akikupenda haangalii hayo.... Anaengalia hayo ujue wewe sio flavor yake! Mapenzi ni kama kuchagua kinywaji sio wote wanakunywa fanta.... Wengine wanakunywa clubsoda na wanaenjoooooooy
Kwamwanamke,Kitambi hakifai hata kidogo hasa, yule wakumiliki.ila kama mchepuko wa siku 1hapo kanyaga twende.Habari za mida hii wapedwaaa???
Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)
Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...
......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????