Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Kuna rafiki yangu tulisoma nae chuo, anasema akiona mdada tumbo lina nyamanyama ndio anavutiwa. .
Beauty lies in the eyes of the beholder
Inawezekanaaa kweliii uzuri machonii pa mtuuu
 
Habari za mida hii wapedwaaa???

Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)

Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...

......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????
Kifanyiea Mazoezi yaani ni sawa Wanawake wanavyowachukia wanaume wafupi sijui
 
Habari za mida hii wapedwaaa???

Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)

Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...

......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????
Nicheki kwa muda wako PM naweza kukusaidia japo A, B, C....
 
Si kweli,tumbo linatoka ukiamua,afanye mazoez ya tumbo aache uvivu kabisa.naamin ukifanya mazoez linatoka,pia akiamka asbuh kitu cha kwanza anywe maji ya vuguvugu glass kama mbili.
Apendelee kunywa sana maji kuliko kula.

Happy with my english figure[emoji28][emoji1][emoji106]mm nakunywa mpk three to four litres per day
Akinywa maji mengi atakuwa km ray kigosi
 
Ukweli napenda wanawske wanene ila shida kama ana kitambi ukimlalia ili ule deda mara anasema tumbo linamuuma
 
Back
Top Bottom