venuss
Senior Member
- Jul 2, 2016
- 116
- 291
Mwambie achemshe maji achanganye na tangawizi ila Ile mbichi sio ya unga hayo maji anaweza hifadhi kwenye chupa ya chai
Matumizi :asubuhi kabla hajala chochote anywe kikombe kimoja cha hayo maji ila aweke limao vijiko viwili na asali kijiko kimoja afanye hivyo hivyo mchana na jioni
Njia nyingine :anunue cabbage atoe yale maganda bila kuyakata ayapashe moto kidogo bila kuweka chochote yawe yenyewe baada ya hapo aache yapoe then ayapange tumboni na afunge tumbo na kanga au mtandio alale nayo hadi asubuhi ataona maajabu
Ila mwambie asiwe anakula sana na apunguze vyakula vya mafuta
Kuna zoezi pia la kukaza misuli ya tumbo ili lisitepete ni muhimu pia akiwa anafanya