Je, Ni kweli mwanamke wa miaka 31 amedaiwa Kuzeeka ghafla na kuonekana kama bibi wa miaka 80?

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Kumekuwepo na chapisho lililosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likidai kuwa mwanamke mmoja kutoka nchini Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 31 amezeeka ghafla na kuonekana kama bibi mwenye umri wa miaka 80.

Chapisho hilo linaeleza kuwa mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Sinenhlanhla Khoza alianza kukumbwa na hali hiyo akiwa na umri wa miaka 27, muda mfupi baada ya kuhusiana kimapenzi na mwanaume mmoja raia wa kigeni. Kutokana na tukio hilo, mwanamke huyo anadaiwa kuhisi kuwa huenda mwanaume huyo alimroga na kusababisha mabadiliko hayo ya ghafla katika mwonekano wake.


Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • 900.jpg
    63.8 KB · Views: 21
Za kuambiwa changanya na zako

Ova
 
Kuna katuni moja ilikuwa na story kama hii. Raia wazee wa kigeni wanatumia nguvu za giza kuja kutembea na waafrica vijana.

Kinachotokea yule mzee anaanza kuwa kijana halafu kijana anazeeka ghafla yaani wanabadilishana kama mzee alikuwa na magonjwa yote yanahamia kwake.
NA waafrica tunavyopenda wazungu sasa mbona kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…