Je, ni kweli Nabii hakubaliki kwao? Raia wa Afrika Kusini wataka Jeshi la Polisi Tanzania kwenda kuzuia uhalifu nchini kwao

Kesi yao ilishakuwa na msukumo
Tokea huko,interpol polctz wakikuamulia kukumata utakamatwa tu
Wakiamua kuuchunia kesi wanauchuna

Ova
 
Katika kudhibiti uhalifu. Jeshi la Polisi Tanzania limeithibitishia dunia kuwa moja ya Jeshi bora kabisa hadi sasa
Ohoooo ok mkuu,fugitive anaingia mtwara kwa njia za panya, anasafiri hadi Arusha (10km to Kenya border),anakamatwa kwa informations kutoka nje,then kudos kwa TP!ngoja niendelee kupalillia vitindi vyangu vya ulanzi
 
Wanakurupuka, ukisoma kisa mpaka kukamatwa kwa huyo bester, ni hao hao S.A walipenyeza ripoti kuwa yuko TZ wala si jeshi letu lililokuwa na taarifa.
Simply, ni sawa na Dkt. Louis Leakey agundue fuzu mashuhuri la mwanadamu (wa kale zaidi?), then Dkt. Mollel Bongo ajitwalie sifa za huyo mkoloni mpelelezi-turned-mwanasayansi.
 
Hao wa South hamna kitu,

Futuhi Inshu sio uwezo, uwezo wanao,
Inshu ni njaa, roho mbaya, tamaa na sifa.
 
Wewe unaona aje?
 
Mtoa mada mbona sijasoma sehemu inayosema wasouth wataka au kuomba tanpol iende but nasoma ulichopost as raia wa tz ndiyo waombe kazi ya upolisi huko SA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…