Je ni kweli ndg. Mulugo (n/waziri wa elimu )kasema haya?

Je ni kweli ndg. Mulugo (n/waziri wa elimu )kasema haya?

Wa Bagamoyo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
118
Reaction score
12
Wakuu nimeikuta hii katika moja ya mtandao wa kijamii

" MAAJABU MENGINE YA NAIBU WAZIRI WA
ELIMU,MH MULUGO
Akiwa katika ziara ya kutembelea chuo cha ualimu
Tukuyu. Wakufunzi walimuuliza swali kwanini
hawapandishwi madaraja kwa muda mrefu.
Mmoja wa wakufunzi alilalamika toka aajiriwe
yuko daraja D ingawa ana mwaka wa kumi kazini.
Mulugo akajibu kwamba atahakikisha anapanda
daraja mpaka A mwaka huu. Akidhani daraja A ni
kubwa kuliko E wakufunzi wote wakabaki
kumshangaa akiwamo mkuu wa chuo wa pale.
Akiongea na wanafunzi wanafunzi walimuomba
serikali iwaajili hata kama wame fail somo moja
yaani kama wana supplementary moja katika
mtihani wao wa mwisho. Mulugo akajibu kwamba
suppementary ni somo kama masomo mengine hivyo
ni lazima wafaulu supplementary asiyefaulu
atakiona. Yeye akidhani supplementary ni
mojawapo ya somo katika course ya ualimu.
Swali:
Alipewaje wizara nyeti kama hiyo wakati haijui
kabisa?"
 
ndo maana watu hussugest waziri wa Elimu awe amekua Mwalimu kwa muda mrefu na anaelewa maswala ya Elimu sio wanachukua chukua tu
 
Aisee kwa mlugo lolote laweza kutokea!!Mtu anasema "mimi sikwenda direct moja kwa moja chuo kikuu"(Source :mahojiano Star TV, Medani za siasa).Huyu Waziri wetu ni wa kuhurumia tu.
 
Jk kazi kwake na hao mawaziri wake ila kazi kwetu sisi na elimu yetu maana nahisi tunadidimizwa kielimu kama waziri hajui hata scale za mshahara zinavyopangwa makubwa.
 
ahahahahaaaaaaaaa!! unanivunja mbavu zangu mieee!
 
mulugo umetishaaaa! nizaidiiii ya kilazaaaaa
 
huu ni uzandiki tu, unaojaribu kuzidi kumpaka matope Dr. Mulungo

Huu uzi mods inabidi wauamishie jukwaa la jokes
 
Wakuu nimeikuta hii katika moja ya mtandao wa kijamii

" MAAJABU MENGINE YA NAIBU WAZIRI WA
ELIMU,MH MULUGO
Akiwa katika ziara ya kutembelea chuo cha ualimu
Tukuyu. Wakufunzi walimuuliza swali kwanini
hawapandishwi madaraja kwa muda mrefu.
Mmoja wa wakufunzi alilalamika toka aajiriwe
yuko daraja D ingawa ana mwaka wa kumi kazini.
Mulugo akajibu kwamba atahakikisha anapanda
daraja mpaka A mwaka huu. Akidhani daraja A ni
kubwa kuliko E wakufunzi wote wakabaki
kumshangaa akiwamo mkuu wa chuo wa pale.
Akiongea na wanafunzi wanafunzi walimuomba
serikali iwaajili hata kama wame fail somo moja
yaani kama wana supplementary moja katika
mtihani wao wa mwisho. Mulugo akajibu kwamba
suppementary ni somo kama masomo mengine hivyo
ni lazima wafaulu supplementary asiyefaulu
atakiona. Yeye akidhani supplementary ni
mojawapo ya somo katika course ya ualimu.
Swali:
Alipewaje wizara nyeti kama hiyo wakati haijui
kabisa?"

mkuu umetaka kunichana mbavu,nashukuru tu Mungu aliniumba na mapafu la sivyo mbavu zingechanika kwa kicheko nilichokitoa.itabidi na mimi nitafute mwalimu wa hilo somo la supplimentary nisije nikalifeli
 
Ahahahaaaaaaa..! Ngoja niwasiliane na vijana wa pale Tukuyu wanimwagie data
 
Back
Top Bottom