Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
ucjar 2takuchagua uwe rais bwegeee
cikuelewi? Upo kwenye siku zako nn? Nan kakuambia anataka uraisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ucjar 2takuchagua uwe rais bwegeee
Mmmm! nina mashaka na hii taarifa kama ni ya kweli,kama ni kweli itakua katika level za juu sana ya kauli tata za viongozi wa juu hapa Tanzania!
Sasa ile aliyosema kuwa Tanzania ni muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe sio kauli tata? Mbaya zaidi aliizungumza nje ya TZ si bora hii aliyosema hapa kwetu.
Mulugo naye alikuwa mwalimu lakini wa kuchongando maana watu hussugest waziri wa Elimu awe amekua Mwalimu kwa muda mrefu na anaelewa maswala ya Elimu sio wanachukua chukua tu
Wakuu nimeikuta hii katika moja ya mtandao wa kijamii
" MAAJABU MENGINE YA NAIBU WAZIRI WA
ELIMU,MH MULUGO
Akiwa katika ziara ya kutembelea chuo cha ualimu
Tukuyu. Wakufunzi walimuuliza swali kwanini
hawapandishwi madaraja kwa muda mrefu.
Mmoja wa wakufunzi alilalamika toka aajiriwe
yuko daraja D ingawa ana mwaka wa kumi kazini.
Mulugo akajibu kwamba atahakikisha anapanda
daraja mpaka A mwaka huu. Akidhani daraja A ni
kubwa kuliko E wakufunzi wote wakabaki
kumshangaa akiwamo mkuu wa chuo wa pale.
Akiongea na wanafunzi wanafunzi walimuomba
serikali iwaajili hata kama wame fail somo moja
yaani kama wana supplementary moja katika
mtihani wao wa mwisho. Mulugo akajibu kwamba
suppementary ni somo kama masomo mengine hivyo
ni lazima wafaulu supplementary asiyefaulu
atakiona. Yeye akidhani supplementary ni
mojawapo ya somo katika course ya ualimu.
Swali:
Alipewaje wizara nyeti kama hiyo wakati haijui
kabisa?"
jamaa kabla ya kugombea ubunge alikuwa anapiga temporal ya shule moja ya msingi kule mbeya