MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Mkuu wa Wilaya sijui ya wapi siku hizi. Nakumbuka alizinguana na Mkurugenzi...akamuita mwenzie mlevi...full kumchomelea kwà WAZIRI MKUUNdo nani huyo
Hata wewe unafarahi ukisikia teuzi wamepewa imani yako huoni uchawiUlivyo furahia matatizo ya mwenzako...ndo watanzania Wengi tulivyo... full uchawi
We mwanaume, acha kufatilia mambo ya wanaume wenzio yanakusaidi nini?Dar salala....shwetwan lajuuun....yani hii story kama ni ya kweli basi Mkewe atakua kaupiga mwingi sana!
Nasemaje, mwisho wa ubaya huwa ni aibu , na mwanzo wa wivu huwa ni chuki bob, au nyie mnasemaje?
Yerrrrrr aikambeeee!!!!
Imagine,Ulivyo furahia matatizo ya mwenzako...ndo watanzania Wengi tulivyo... full uchawi
Nimefurahi wapi..weka ushahidiHata wewe unafarahi ukisikia teuzi wamepewa imani yako.uoni uchawi
Sijafurahi hata kidogo. Sema nini....hawa watu wanapenda sana kujifanya Wana hela..na tena Wana mapenzi ya dhati kwà wake zao.Ulivyo furahia matatizo ya mwenzako...ndo watanzania Wengi tulivyo... full uchawi
Nimeona mivideo kibao Ticktock....afu humu jf mko kimya....Acheni unafki bana...mfxxxxxWe mwanaume, acha kufatilia mambo ya wanaume wenzio yanakusaidi nini?
Kwahiyo wewe inakuuma 'akijifanya ana hela'? Treat that pumpkin mwana.Sijafurahi hata kidogo. Sema nini....hawa watu wanapenda sana kujifanya Wana hela..na tena Wana mapenzi ya dhati kwà wake zao.
Namsubiri sana DC WA NSTA. TENA yeye anatakiwa afumanie kabisa gemu....
Akijifanya kidume...jamaa wampake Mafuta!!!
Weka uzi , sijauona. Au mods waliufuta!Tushajadili hili tushalimaliza na tunelifunga rasmi.
Achana nalo fanya Mambo mengine.
Kama hela ni zako, kama una mpenda mkeo..ni wewe. Some stuffs should be private.Kwahiyo wewe inakuuma 'akijifanya ana hela'? Treat that pumpkin mwana.
Chilii ya R CHUGANdo nani huyo huko mjini