Je, ni kweli Nikk wa II ameachika?

Je, ni kweli Nikk wa II ameachika?

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,705
Reaction score
4,967
Dar salala....

Shwetwan lajuuun... yaani hii story kama ni ya kweli basi Mkewe atakua kaupiga mwingi sana!

Nasemaje, mwisho wa ubaya huwa ni aibu, na mwanzo wa wivu huwa ni chuki bob, au nyie mnasemaje?

Yerrrrrr aikambeeee!!!!
 
Ulivyo furahia matatizo ya mwenzako...ndo watanzania Wengi tulivyo... full uchawi
Sijafurahi hata kidogo. Sema nini....hawa watu wanapenda sana kujifanya Wana hela..na tena Wana mapenzi ya dhati kwà wake zao.

Namsubiri sana DC WA NSTA. TENA yeye anatakiwa afumanie kabisa gemu....

Akijifanya kidume...jamaa wampake Mafuta!!!
 
Kwahiyo wewe inakuuma 'akijifanya ana hela'? Treat that pumpkin mwana.
 
Ni vyema sana wanaume kujifunza kutake risk....katika issue ya Hela na Mapenzi.

Kuna private risk na public risk
 
Back
Top Bottom