MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ukimuuliza hasa chanzo cha chuki hatokuwa na jibu na ukienda mbali zaidi ukimuuliza anamjua huyo anaemchukia utakuta anajua anachokiona mitandaoni tu.Ulivyo furahia matatizo ya mwenzako...ndo watanzania Wengi tulivyo... full uchawi
Sasa huyo jamaa wanaJF sio baba zake.Kamuite Baba yako hilo neno halafu leta mrejesho
Hahaha mamasamia usipomkubali mtu lazima umnange...Kumtetea Nikki pia inahitaji moyo sana. Ni mtu wa kujigamba mno. Huwa anataka kuonekana yeye ni msomi kuliko wasanii wote. Kuna siku anahojiwa na Millard akadai yeye hajawahi kufeli wakati form IV alipiga division III huku akiwa na F ya hesabu.
Nikki ni mwanangu sana ila huwa anaboa mno kwenye kudhani yeye ni msomi kuliko wote. Kujikweza ni kitu kibaya mno. Acha tu watu wakusifie.Hahaha mamasamia usipomkubali mtu lazima umnange...
Anyway watu wanaoana wanaachana
Tukubali tu matokeo
Ova
Hii mada replies zake full shangwe [emoji23]Mambo ya kawaida hayo mbona
Hutokea!
Ova
Teh teh ,ila mambo ya kumpostpost mme/mke mtandaoni sijui tutaishi milele,hkna kama wewe, nikinywa maji kweny glass nakuona blahblah nyingNikki ni mwanangu sana ila huwa anaboa mno kwenye kudhani yeye ni msomi kuliko wote. Kujikweza ni kitu kibaya mno. Acha tu watu wakusifie.
Manzi hasomeshwi zaidi unamfungulia kibiashara/kimradi cha nyumbani mkuuAlijua alivyomsomesha atagandwa wanawake ni mbwa tu yaani. Huu ndio ukweli