MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kumtetea Nikki pia inahitaji moyo sana. Ni mtu wa kujigamba mno. Huwa anataka kuonekana yeye ni msomi kuliko wasanii wote. Kuna siku anahojiwa na Millard akadai yeye hajawahi kufeli wakati form IV alipiga division III huku akiwa na F ya hesabu.