Je, ni kweli Polepole na Dkt. Bashiru wamepata taarifa za kuhojiwa Kuhusu makosa ya uhujumu uchumi?

Je, ni kweli Polepole na Dkt. Bashiru wamepata taarifa za kuhojiwa Kuhusu makosa ya uhujumu uchumi?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.

Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
 
Hao hata wangetoana macho wakabakia na mahandaki hakuna wa kuwaonea huruma.
 
Bashiru anawajua waliokuwa wamejimilikisha mali za chama kwa maslahi ya matumbo yao.
Hao ni zaidi ya wahujumu uchumi
Still yeye Na Polepole wakajiingiza kwenye ununuzi wa madiwani na wabunge bila kutoa risiti angalau ya EFD. Daaah? Ni cash bila rekodi yoyote. Fisadi Bashiru na Polepole ni watu hatari sana. Wachunguzwe mara moja.
 
Chama kipya ni muhimu sana sisi wamachinga tunakisubiri kwa hamu kubwa.
Tuombe Mungu mkuu, sasa ukilicheki jitu kamabulembo pale linachoongea mbele yetu wananchi ni nini zaid ya kiburi na dharau tupu,
Linaonesha taswira ya ukigogo ndani ya chama na hiyo ndio inarudisha yaleyale mambo ya ufisadi,
 
Back
Top Bottom