Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.
Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru