Je, ni kweli Polepole na Dkt. Bashiru wamepata taarifa za kuhojiwa Kuhusu makosa ya uhujumu uchumi?

Ungekuwa mtumishi wa makao makuu labda sio unaongea vitu huvijui
Wewe ni mtumishi wa makao makuu?
Lakini mbona bado huonyeshi kuwa unajuwa lolote? Au ndiyo mafisadi mliojaa huko ndani ya chama?
 
Hawa wanakamatika kirahisi kuhusu matibabu yaliyotumika kwa JPM kuna kama vibilioni kadhaa hivi havisomeki kabisa!
 
Bashiru anawajua waliokuwa wamejimilikisha mali za chama kwa maslahi ya matumbo yao.
Hao ni zaidi ya wahujumu uchumi
Tatizo hawakuwaexpose wala kuwashughulikia .... amabalo pia ni kosa. In maana alikuwa anawalinda ama?

Leo hata akija na hayo majina hakuna mtu atakayemuamini ...... yatakuwa ni majungu tu!!
 
CCM waseme kwanza waliwapa kiasi gani kuwanunua Wapinzani. Walitumia kiasi gani. Hapo sasa wawaulize balance imekwenda wapi???
 
Wale wawili wajamaa hawawezi kuomba radhi kwa mambo ambayo hawajafanya.
 
JF wapo bize kujadili tetesi.. hii inchi ngumu sana
 
CCM mambo si swali, chama kina vipande 3 sasa - huku wahamiaji nao wakitengeneza kipande cha nne.
 
Leteninhabali za maana za kusaidia nchi
Achaneni na umbea kwenye hili jukwaa
 
Sasa Bashiru kajaje au ndo master behind the scheme
 
Sasa habari za wapendwa wako humu kwenye jukwaa umeleta za nini kama kuna watu haziwahusu?
Hebu eleweni basi sio mnaniquote bila sababu za msingi mnanipa notification za usumbufu tu,nimesema wapendwa wetu wameokotwa kwenye viroba hapa utaona nimewakilisha kundi la watu wengi walioumizwa,basi ngoja Erythrocyte aje na yeye akwambie jinsi mpendwa wake Alfonse alivyokufa kikatili au kina Ben saanane walivyopotea baada ya kuhoji ph.D ya mungu wenu jiwe
 
Kuna wataalamu walisema...

When u live in a glasshouse don't throw stones...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…