igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Ndiyo wameshaambiwa "KINA WENYEWEEE" ya nini kushupaza shingo??Uongo mtupu.
Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wameshaambiwa "KINA WENYEWEEE" ya nini kushupaza shingo??Uongo mtupu.
Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Wewe ni mtumishi wa makao makuu?Ungekuwa mtumishi wa makao makuu labda sio unaongea vitu huvijui
Sasa habari za wapendwa wako humu kwenye jukwaa umeleta za nini kama kuna watu haziwahusu?Mpendwa wangu mimi wewe anakuhusu nini?
Hivi yule Waitara ni wa kununuliwa kwa M 300? Hao wahuni walipiga hela ndefu sana katika biashara haramu ya kununua wapinzani uchwara.Uongo mtupu.
Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Hawa wanakamatika kirahisi kuhusu matibabu yaliyotumika kwa JPM kuna kama vibilioni kadhaa hivi havisomeki kabisa!Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.
Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
Tatizo hawakuwaexpose wala kuwashughulikia .... amabalo pia ni kosa. In maana alikuwa anawalinda ama?Bashiru anawajua waliokuwa wamejimilikisha mali za chama kwa maslahi ya matumbo yao.
Hao ni zaidi ya wahujumu uchumi
Wale wawili wajamaa hawawezi kuomba radhi kwa mambo ambayo hawajafanya.Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.
Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
Kazi gani?Uongo mtupu.
Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Haa ukimaanisha 'Yako macho' 'Yangu macho'Tazama ramani utaona nchi nzuri, yenye mito na mabonde mengi ya nafaka.
CCM mambo si swali, chama kina vipande 3 sasa - huku wahamiaji nao wakitengeneza kipande cha nne.Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.
Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
Leteninhabali za maana za kusaidia nchiTaarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.
Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
waliwashikisha watu adabu!Uongo mtupu.
Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Sasa Bashiru kajaje au ndo master behind the schemeTaarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.
Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
Hebu eleweni basi sio mnaniquote bila sababu za msingi mnanipa notification za usumbufu tu,nimesema wapendwa wetu wameokotwa kwenye viroba hapa utaona nimewakilisha kundi la watu wengi walioumizwa,basi ngoja Erythrocyte aje na yeye akwambie jinsi mpendwa wake Alfonse alivyokufa kikatili au kina Ben saanane walivyopotea baada ya kuhoji ph.D ya mungu wenu jiweSasa habari za wapendwa wako humu kwenye jukwaa umeleta za nini kama kuna watu haziwahusu?
Kuna wataalamu walisema...Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.