Je ni kweli Rais wa Nigeria, Buhari alishafariki toka 2017

picha ya kwanza imegeuzwa tu... angalia na mkono wenye saa nao pia umegeuka... kama ulivyogeuka mkono wenye peni... so hapo ni kama picha iliyopigwa kwenye kioo na iliyopigwa kawaida.... sasa hizo nyingine labda tuwaulize ndugu wa buhari... wao ndio wenye kujua zaidi
 
Si uende Nigeria ukaulize hasa watu wa usalama labda ndo wanajua,sasa sisi huku tutakujibu nini? Aisee
 
point mkuu
 
Human by nature are pattern seeking animals. Even in areas where there are no patterns.
Binadamu kwa asili huwa tunapenda kuhusianisha na kuunganisha vitu hata pale ambapo hakuna ukaribu. Dots nyingine huwa tunajitengenezea tu ili tuconect ili zitengeneza maana.
Mimi sijui kama Buhari ni mwenyewe au sio. Na wala sina maslahi na uwepo wake wala kutokuwepo kwake. nimezungumza probability tu. Zaidi sana nimejaribu tu kutoa hoja kwamba buhari hata akiwa amekufa chama chake hakikuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuleta mtu mwingine kumuact, na kuhatarisha usalama wa nchi. Kwa matarajio yapi?
 
Na kwa tamaa ya madaraka tuliyonayo waafrika , hakuna deputy ambaye anaweza kukubali kuongozwa na mtu fake kutoka nchi nyingine.
Marais wengi tu Afrika wamekufa madarakani na kukawa na smooth transition of power. Tena wengine waliuawa. Na bado nchi zikapata kiongozi mpya zikaendelea.
Mfano,
Rais
Omar Bongo-Gabon
Michael Sata -Zambia
Meres Zenawi-Ethiopia
Lansana conte guinea
Joao Vieira- Guinea Bissau
Umaru Yaradua-Nigeria
Bingu wa Mutharika-Malawi
John attas Mills -Ghana
Na Pierre Nkurunziza -Burundi.
Wako wengi tu wakina Gadaffi Karume na laurent Kabila.
Mchezo wa kuficha sio wa waafrika. Kwanza akifa kiongozi , wa chini yake ndio wanafurahi sasa ni zamu yao kutawala. Inawezekanaje Nigeria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…