Unachohisi ni uhalisia siyo uhalisia,na unachodhani si halisi ndicho hasa halisi.Kuna mambo kwa akili yako ya kawaida unafikiri hayawezekami lkn yanatokea,yanafanyika na yanawezekana ktk dunia hii.
Wew Buhari wa kabla ya 2017 ulishawahi kuwa naye karibu,huyu wa sasaivi pia una ukaribu naye ili uweze kujiridhisha kuwa unawafahamu kwa karibu na hivyo habari ni feki au ni editing.
Kuna mambo ktk dunia hii yanafanyika ktk hali yaekushangaza kabisay.
Kuna mambo yanafanyika kwa akili ya kawaida unatafsiri waliofanya wamekosea au wanefanya kwa makusudi.Lkn kumbe yalipangwa yatokee hivyo kimakosa na yaonekane wamekosea,au makusudi yenyewe ilipangwa kwa makusudi ionekane ni makusudi. Hapo kuna lengo.