Je, ni kweli Raisi Samia ametoa kauli hii: "tunataka anaepokea simu na yeye awe na salio ili kuimalisha uchumi"?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.

Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?

Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?

Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku watanzania mkiambiwa kupigania haki zenu, basi muone umuhimu wa kufanya hivyo,
 
BILA KUUONA HUO UJUMBE UTAKUWA NI UZUSHI NA UNATAKA KULETA TAHARUKI ISIYO NA MAANA KWENYE JAMII
 
Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.

Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?

Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?

Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku watanzania mkiambiwa kupigania haki zenu, basi muone umuhimu wa kufanya hivyo,
Hii ni mbaya Sana endapo kama Tanzania nako wataiga mtindo huu.
Kwenye baadhi ya nchi zingine za ughaibuni hali ndiyo iko hivyo, ukiwa hauna salio kwenye simu yako hauwezi kupokea sms Wala hupati miito ya simu. Gharama zinakatwa kwa watumiaji wote wa mtandao wa simu, yaani mtumaji pamoja na mtumiwaji (mpokeaji) wa sms.

Ila Kwa Tanzania naona kama bado hatujafikia viwango hivyo, uchumi wa nchi na vipato halisi vya Wananchi wengi zaidi kwenye nchi hii bado hatujafikia viwango vya juu namna hiyo.
 
Capture.PNG
 
Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.

Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?

Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?

Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku watanzania mkiambiwa kupigania haki zenu, basi muone umuhimu wa kufanya hivyo,
Nchi zinazofanya hivyo, hawana vifirushi vya ovyo ovyo kama vya mitandao yetu hii TZ.
 
Back
Top Bottom