Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tlaatlaah amegeukia kilimo cha kabichi, anasema siasa haimlipi.Bila Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah kusikika wakibubujikwa machozi ya furaha, kauli hii itakuwa batili.
BILA KUUONA HUO UJUMBE UTAKUWA NI UZUSHI NA UNATAKA KULETA TAHARUKI ISIYO NA MAANA KWENYE JAMIIKuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.
Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?
Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?
Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku watanzania mkiambiwa kupigania haki zenu, basi muone umuhimu wa kufanya hivyo,
Hii ni mbaya Sana endapo kama Tanzania nako wataiga mtindo huu.Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.
Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?
Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?
Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku watanzania mkiambiwa kupigania haki zenu, basi muone umuhimu wa kufanya hivyo,
ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kuepuka kubabaika na mambo madogo madogo ya kawaida kama hayo ladies and gentlemanBila Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah kusikika wakibubujikwa machozi ya furaha, kauli hii itakuwa batili.
Nchi zinazofanya hivyo, hawana vifirushi vya ovyo ovyo kama vya mitandao yetu hii TZ.Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.
Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?
Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?
Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku watanzania mkiambiwa kupigania haki zenu, basi muone umuhimu wa kufanya hivyo,
Lucas Mwashambwa nimemkuta Uyole anazipigia debe Coster zinazokwenda Kasumulu Kyela.Tlaatlaah amegeukia kilimo cha kabichi, anasema siasa haimlipi.