Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sisi tunaoishi sehemu za mapito ya utalii hatuini tofauti na wakati kabla ya corona.Kipimo cha kujua imeleta tija kuna vitu vingi vya kuzingatia ila niatkisema nilichokiona mimi,kwa uolpande wangu naona imeleta tija tunaona takwimu za wageni kuja Tanzania zimeongezeka , kuiweka Tanzania kwenye ramani ya duinia na kuongelewa mara nyingi imewezekana Royal tour imeleta tija