butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Kweli Mkuu, watu wanaleta siasa njaa za kumsifu Bibi wakati kiuhalisia hakuna kitu.Mara kibao Mbuga ya Serengeti na Mlima Kilimanjaro zimekuwa zikipata tuzo za kimataifa.Utalii uliporomoshwa na Covid, na umenyanyuka baada ya Covid kupungua/kuisha.
Hakuna cha Roho Tour wala nn.
Sasa nazo zimetangazwa na Royal Tour!!!