Je, ni kweli Royal Tour imesaidia kukuza utalii?

Sisi tunaoishi sehemu za mapito ya utalii hatuini tofauti na wakati kabla ya corona.
 
Yaani weweni jinga kweli kweli
 
Sisi tunaoishi sehemu za mapito ya utalii hatuini tofauti na wakati kabla ya corona.
Ni mitizamo tu una haki kikatiba kuona tofauti ila tu reason kwa muji wa takwimu sio mihemko
 
Chief tuwekee hizo twakwinu basi
 
Exactly hii haina kupinga Royal tour imewaibua hadi watu maarufu kwaiyo sasa watanzaniua tunakula matunda ya royal tour maana hadi muuza matunda ananufaika na ongezeko hili la watalii
 
Ni mitizamo tu una haki kikatiba kuona tofauti ila tu reason kwa muji wa takwimu sio mihemko
Unabisha bila takwimu?
Mwaka 2016 tulipokea watalii 1.2m na 2017 tulipokea 1.3m
 
Exactly hii haina kupinga Royal tour imewaibua hadi watu maarufu kwaiyo sasa watanzaniua tunakula matunda ya royal tour maana hadi muuza matunda ananufaika na ongezeko hili la watalii
Tutajie watu maarufu waliokuja Kwa sababu ya royal tour ambao walikuwa hawajawahi kuka
 
Yaani weweni jinga kweli kweli
TAKWIMU ZINAONGEA MZEE mapato yatokanayo na watalii wa kimataifa yaliongezeka kutoka dola za Marekani milioni 714.59 mwaka 2020 hadi dola za Marekani bilioni 1.25 mwaka 2021 sawa na ongezeko la asilimia 76
 
Unabisha bila takwimu?
Mwaka 2016 tulipokea watalii 1.2m na 2017 tulipokea 1.3mView attachment 2524183
Watu wengine wanaongea bila kujua undani wa mambo wanasikiliza story za vijiweni na sio kufuatilia uhalisia Takwimu za Mwaka 2020 na 2021

mapato yatokanayo na watalii wa kimataifa yaliongezeka kutoka dola za Marekani milioni 714.59 mwaka 2020 hadi dola za Marekani bilioni 1.25 mwaka 2021 sawa na ongezeko la asilimia 76
 
Y
TAKWIMU ZINAONGEA MZEE mapato yatokanayo na watalii wa kimataifa yaliongezeka kutoka dola za Marekani milioni 714.59 mwaka 2020 hadi dola za Marekani bilioni 1.25 mwaka 2021 sawa na ongezeko la asilimia 76
Yaani hii inchi wapumbavu mko wengi sana.
Hivi unatumiaje takwimu za 2020 kusifia kitu Cha 2022.

Hivi mna akili kweli.

Mpeni Sifa marehemu ndie aliekataa kufunga nchi wakati was corona hivyo kupelekea utalii was Tanzania kupaa
 
Chawa wa mama wanapotosja kila kitu
 
Mkuu unapozungumzia mahotel kufungwa ilikua kipind ya COVID but maan ya kusema wahusika wa nyanja hiyo watupe details ni kujiridhisha tuna impact kias gan ya tourists flowing! Cz hii hoja hapa ipo theoretically!!
 
Hakuna ongezeko la watalii isipokuwa utalii umerejea baada ya likizo ya corona kuisha
 
Hahahha Chadema hakuna wanachokijua zaidi ya kulalamikia polisi na kutembea na ushuhuda wa Lissu kupigwa risasi lakini ukiwambia hata Miundombinu imeboreshwa, watalii wanazidi kuongezeka nchini kupitia filamu ya royal tour hawaelewi kabisa
Wewe ndiye unayejua.sasa umekuja mtandaoni kuuliza ili iweje.mnaanzisha mada zakijinga alafu mnajijibu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…