Comred Mbwana naomba nitoe comment zangu kwa hii Mada yako ambayo kwa kweli ni yakuchekesha, inasikitisha kama hiyo ziara yako ya mwezi mzima na miji uliyotembelea yote umeifanya source yo hizi story zako sijui ni kwanini unataka kudanganya walimwengu kwa kudai umefanya uchunguzi, kwa haraka haraka zinarudia story zile zile na theory zile zile za tangu miaka ya 1930,1940,1950,1960.... hadi 1994. you dont need to move a meter kuandika hizi story, nothing new at all. nilitegemea kwa ku kaa Rwanda muda wote huo na kutembea miji yose hiyo ungeleta angalau kiti kipya japo kimoja, umerudia theory zile zile za mkoloni na mashabiki wake, zile zile za wanafalsafa wa kimagaribi na wale wote wenye kupenda kuchochea chuki kati ya Wanyarwanda. In fact sijui kama umefanya intentionaly au ni kutofahamu ukweli harisi kuhusu Rwanda hivyo kubugia ma Colonial theories. Unfortunately I cant get enough time to collect every wrong statment uliyotoa kuhusu Rwanda, lakini kama wewe ni mkweli na unataka kujua ukweli kuhusu Rwanda nimeona full adress yako and will try to enlighten you about it if you are interested ofcource. Tuanze namna hii, Kama ilivyo sehemu yeyote duniani utawala wa kifalme ni wa kurithishana, kizazi hadi kizazi, hivi ndivo ilivyo popote pale duniani, hata Malkia Elizabet alirithi toka kwa baba yake King George na atamlithisha mwanae, ndivyo ilivyokuwa kwa King Milambo wa Tabora, King Chabruma etc etc, Hata Rwanda ya wakati huo utawala ulishikiliwa na ukoo mmoja tu na ulikuwa ukirithishwa ndani ya Familia, Mtawala ambaye twaweza kumuita jina lolote, kutokana na Kabila au lugha itumikayo atampatia huo utawala mmoja wa watoto ndivyo ilivyokuwa kwa Rwanda pia, kwa taarifa yako Watawala wa Rwanda kabla ya Ukoloni walitokea kwenye Clan au ukoo ujulikanao kama Banyiginya. huu ukoo umetawala Rwanda kwa karibu miaka 400 kabla ya ujio wa wakoloni, inasemekana kabla ya hiyo miaka kuna wakati utawala ulikuwa mikononi mwa ukoo mwingine lakini yaritokea mapinduzi, unfortunately it is another story, I will not go on it. Kwa sababu za kikoloni na ambazo tumeendelea kulishwa hadi hii leo, utasikia eti Watusi ndio walikuwa wanatawala Rwanda, si kweli kwani Watusi hawakuwa Wafalme wote utawala ulukuwa mikononi mwa Nyiginya Clan as I said, all other Clans were subject of the King. Initially these Clans were made of single families which grew up to be come a big Clans, but when we say a Nyiginya Clan, in Kinyarwanda ABANYIGINYA we mean the descendants of Someone wit a name resembling that Clan, So all Rwanda Kings came from Nyiginya Clan as it was the ruling Clan something which is common all over the world, in Rwanda the Traditions made it in such a way the A king from A nyiginya Clan when he ascended to power he was to marry a daughter from Abega Clan however as it was Patrimony society, the offspring will always be Banyiginya.
Nataka nikufahamishe kuwa katika Nyiginya clan iliyokuwa inatawala Rwanda ya wakati huo, hadi leo hii wamo hao unaowaita wahutu na watutsi hii ni Fact ambayo kama unataka ukweli kuhusu Rwanda ungeitafuta nakuitafakari kwa kina huu ndio ukweli ambao Wakoloni, Wazungu wababaishaji wote wanaukwepa kwani unabadirisha theory nyingi sana za wasomi kuhusu Rwanda. Kwa kukufungua macho zaidi ndugu yangu Rwanda before the arrival of Colonialism hadi 17 Clans(Koo) plus the Nyiginya clan(Ukoo), making it a a kingdom/State with 18 big big families/Clans (kwa Kiswahili ni koo) and here they go like this: Abazigaba,Ababanda,Abacyaba,Abanyiginya,Abega,Abasindi,Abungura,Abakono,Abasinga,Abanengwe,Abasita,Abashingwe,Abahinda,Abaha,Abanyakarama,Abarenge,Abatsobe and Abagesera For your information my friend these Clans had one great great great grand father, the Bazigaba their ancestor was Kazigaba, Ababanda he was known as Kabanda, Abacyaba was Bucyaba etc etc. All Rwandans right now, the so called Hutu, Tutsi and Twa, will be found in one of those Clans na huo ndio ukweli ambao Wakoloni na ma Puppet wao hawapendi kuusikia, leo hii tembea ndani ya Rwanda muulize mnyarwanda yeyote ukoo wake, atakupa one of those. Wakati huo kabla ya mkoloni hizi kila moja ilikuwa na Sign yake, ambayo iliheshimiwa sana na huo ukoo kwa sababu mbalimbali, hizi sign zilikuwa Mfano, Chui, Tai, Simba,Chura etc etc. Kila wakati endapo nchi ikivamiwa, kama ujuavyo nyakati zili, Mfalme alikuwa anaita vikosi toka kwa baadhi ya Koo, na waliokuwa wakiitwa walikuwa wanakuja haraka sana with pride huku wamebeba banner yao yenye ire Sign ya ukoo then wanaelekea kuilinda nchi na vikosi vya mfalme. Nakubaliana na wewe kuwa Mkoloni mbelgiji ndiye chanzo cha matabaka ya HUTU na TUTSI kama ulivysema mwenyewe pale mwanzoni, lakini nashangaa umeendelea ukayageuza kuwa makabila, it doesnt make sense, very true the Belgians just from no where one day decided to divide all Rwandans into Three groups, HUTU,TUTSI and TWA.
Rwandans were very organised before the coming of Germans towards the end of 18th C, their territory covered all eastern Congo, Southern and Eastern part of Uganda up Lake Edward, the coming of colonialist coincidentally happen when one of their great King RWABUGIRI had just passed away and their had been a fight on succession btn Nyiginya Clan and Abega Clan. Anyway this is another story, however my point here is counter your theory of Tutsi ruling of hutu.
Umenichekesha pia ulipo leta issue ya Hima Empire na Mkataba wa Lemera!! where does it coming from....... do I hear it for the first time? Nope, this has been there and it has been used effectively especially inapokuja kuwatisha wa Tanzania na kuwafanya wasijenge urafiki wowote na Rwanda kisa eti Kagame anataka kujenga hima empire itakayo cover Eneo la Maziwa makuu na Ukanda mzima, hii theory iko hapa miaka chungumbovu, inakuwa twisted hapa na pale just to fit someones agenda, all the writers who uses it will twist it to fit certain intention sijui wewe yako ni ipi but it is crystal clear, Wakati fulani, ilikuwa ni mkataba wa Kagame na Kabila, wakati mwingine Kagame na Museveni, wakati mwingine Kagame, Museven na Zenawi RIP, wewe umeleta Rwanda, Uganda na Kenya meaning (Kagame, Museveni na Uhuru). Hii theory na huu mkataba hewa umekuwa ukizungumzwa na watu mbalimbali wenye Agenda Feki na wenye upeo mfupi wa mawazo hata kabla Uhuru hajaingia madarakani hulijui hilo mwenyewe umesema ulisainiwa 1996? Kalaghabaho. Hivi wewe, dunia ya Leo inawezekana kweli kujenga empire kwenye nchi za watu, Dunia ya sasa na mambo ya Empire kweli vinaendana?
Anyway I have no more time for now, but if your phones are real especially those in Rwanda or TZ and you are willing to share Ideas, we could link, I will definitely try to reach you. however I doubt you will be availlable kwani kwa jinsi ya uandishi wako na jinsi unavyoleta idea zako unaelekea kama mtu furani niliyewahi kujibishana nae humu nae alikuwa analethe theory za kikoloni kama hizi nilipomuomba tufahamiane zaidi kwa manufaa yetu sote alinikatalia kata kata.