Comred Mbwana Allyamtu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 351
- 887
- Thread starter
- #61
Asante mkuuKupitia Andiko hili kuna mambo muhimu nimejifunza Kongole mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuKupitia Andiko hili kuna mambo muhimu nimejifunza Kongole mkuu.
Hi broo nimeshukuru kwa kutupatia ukweli kuhusu Rwanda. Niliwahi kuwa na marafiki wakinyarwanda nilipokuwa nasoma udsm. Walikua wanaongea lugha ya kwao nikawauliza wanachoongea ni kihutu au kitusi wakanijibu ni kinyarwanda. Na pia wakanambia Hakuna kabila la watusi wala wahutu ila kuna wakulima(wahutu)na wafugaji(watusi). Kwa Maelezo yako nimeprove kuwa ni kweli tumedanganywa na tunaendelea kudanganya kuwa nchini rwanda kulikua na vita ya ukabila. Sasa naomba kwa nia ya kupanua uelewa na ili tusipotoshe zaidi utusaidie kutuelimisha ile Vita tuiitaje?For the above post Sorry! kwa mistake zozote za lugha, uandikaji sikupata muda wa kuhariri, but Am Rwandan who was born and grew up in TZ, I live and work in Northern part of Rwanda in the town my comred mentioned as Ruhengeri/Musanze
Makala yako imejieleza ila nawe usikatae kuwa nchini Rwanda hakuna kabila linaitwa wahutu ama watusi. Hili lichunguze mwenyewe utakubaliana nalo 100%Kaka unajibu kile ambacho mimi sijasema. Ila ok kawaida ya watu wa namna kama wewe.
Ok but all in all makala yangu imejieleza
Na kuwa alikuwepo Habyarina na Ntalyamila,Nakumbuka alikuwa Merchior Ndadaye na Habyarimana.Umedanganya sehemu moja kua ndege za marais zilitunguliwa na wahutu….
Mkuu historia yako ina nusu kweli na nusu uwongo
Usiwe wa visazi,visasi si juu Yako ni vya Mungu!Ndio maana hamshindi.potezea
Ya kimbali ni 1994 na sio 1995!Nikweli kabisa kuwa hata utawala wa kihutu kwa watusi ulipelekea mauaji pia ya Watusi wengi.
Na ndio maana katika makala hii nimejalibu kueleza kwa kina sana Juu ya mauaji ya 1959,1963,1964,1975 na Yale ya kimbali ya mwaka 1995