Je, ni kweli Samia amepokea wito wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC?

Mnaodhani Samia atawajibishwa na ICC I've got an ocean to sell you.
Kuwajibishwa kupo kwa namna nyingi na jinai haifutiki.

Unaweza shangaa rais ajae akamtoa kafara mikononi mwa watetea haki ili nae apate uungwaji mkono.

Haya mambo ya siasa za dunia achana nayo kabisa. Akina Ruto na Uhuru kwenda kupambana ICC hawakuwa wapumbavu. Wanaelewa next move huwa zinaweza kuwaje
 
Nyinyi ng'ombe wa insta na X mtamezeshwa sana upupu bila maji huko mitandaoni
Sababu akili ya kinyumbu ubongo size ya piriton, hamna uwezo wa ufahamu, ni kama akili zilizojaa tope na kamasi zinateleza na upupu wowote mbele yao.
 

Ruto na Uhuru wapo wapi leo?

Siasa za TZ na Kenya tofauti sana. Rais ajaye kimsingi anateuliwa na Samuya mwenyewe.

ICC ni mahakama ya kusumbua failed states ila nchi yeyote ambayo bado inajiendesha ICC Haina nguvu yeyote labda kutoa matamko tu. Kwanza TZ inaweza kujitoa huko ICC ikabaki kama mpenzi mtazamaji tu.
 
Umetoa hoja nne zote za kurukaruka maana unatambua hauna hoja ya maana.

Pia kujitoa ICC hakuiondolei mamlaka ICC kwa mambo yaliyotokea wakati ukiwa mwanachama. Kutojua hilo kunaonyesha hauwezi kuwa na ufahamu wa kutosha wa mambo haya.
 
Wajuvi wa mambo wanasema ndio sababu kubwa ya kuwateua Dr. Mpango na Majaliwa na Kabudi kuwa washauri wake.

Soma Pia: Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

View attachment 3528815
Taarifa za Uhakika ni kuwa Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta amepewa kitita Cha kutosha kwenda the Hague kuweka mambo na mazingira sawa maana yeye ana uzoefu .

Serikali ya Gaidi inamtumia sana katika kesi hii na huenda wakafanikiwa sana
 
Ukifuatilia kwa makini Kesi ya Samia ni baina ya Serikali (Majeshi) na wananchi .Kesi ya Uhuru na Ruto ilikuwa baina ya Raia Kwa Raia .Ni kesi mbili tofauti
 
Hapa unatwanga maji kwenye kinu
Nyumbu humu zimejitoa hasa kuamini ICC itamkamata samia wapige vigelegele
Hawata kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…