Sikweli, Samia Suluhu Hassan(The Butcher )hajapokea wito rasmi kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), japo mashirika ya haki za binadamu yameshawasilisha ombi la uchunguzi dhidi yake.
Kwani Hadi sasa, hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa ICC (OTP) kwamba Samia ameitwa au kufunguliwa mashtaka. Hata hivyo, kuna maendeleo muhimu yanayoendelea huko , watanganyika tuwe wavumilivu, mahakama ya ICC Haina haja ya kutoa wito kwa ki-dumper ka Samia harafu iwe Siri,kama watu wazito kama Bashiri,Netapaka,na Putin mambo yao yaliwekwa wazi ,vipi huyu mvimba macho wafanye Siri,!?
- Samia kwenye hili Hana pa kutokea,ni swala la muda tu kwani Samia anatajwa kuwa na uwajibikaji wa mwisho kwa vitendo vya vyombo vya dola, kulingana na waraka wa kurasa 82 uliowasilishwa ICC hivyo hana pa kutokea. Si Leo au kesho,labda afe
- Hatua ya kesi ya Samia huko ICC: Hadi sasa, ICC haijatangaza iwapo imefungua uchunguzi rasmi au kutoa wito kwa Samia. Ombi hilo liko katika hatua ya awali ya uchunguzi wa awali (preliminary examination), ambapo OTP huchunguza iwapo kuna msingi wa kuanzisha uchunguzi kamili.