Kiukweli mimi sioni ingawa ilitakiwa iwe hivyo. Wamefanya wakijua matokeo maana yake walijipanga mda mno wakaanalyse matokeo yake na kuja na majibu.Waliyoyafanya waliyajua na wakaweka mipango thabiti ndo maana anaongea atakavyo na aliandaa vikosi kabla na baada na anasema azarani. Yule kiukweli hata kama yuko shit hole coantries ila hagusiki na hawezekani. Ukweli mchungu nimeukubali baada ya tangu 29 kwa zile tambo wanajua kitu kinavyoendelea. Wao ndo washindi! Tuendelee kumuachia Mungu!🙌🙌Kama kuna kitu kitatokea basi ndo kinaitwa muujiza