Ni suala la muda tuu kabla kila kitu hakijawa hadharaniWajuvi wa mambo wanasema ndio sababu kubwa ya kuwateua Dr. Mpango na Majaliwa na Kabudi kuwa washauri wake.
Soma Pia: Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague
View attachment 3528815
😁mkuu kwamba ni vibaka tu wa mtandaoni wanatumika kama toilet paperHao choka mbaya hamna mtu wa system hapo
Ndio nimeamka nasikia Trump kwa kutuma salamu kwanza kaenda kuwachapa ISIS ******** kutoa lile jibu la WHO ARE YOU? Hapo anamzengeazengea tu huyu WHO ARE YOU wanasiasa uchwara wanaompaka mafuta wanasema anawachapa watu sababu anataka rasilimali zao haya hao ISIS wana rasilimali gani hadi kawachapa vibaya? Sio magaidi hao waliomshauri WHO ARE YOU aue raia siku ile?Wajuvi wa mambo wanasema ndio sababu kubwa ya kuwateua Dr. Mpango na Majaliwa na Kabudi kuwa washauri wake.
Iran tayari wanapelekewa motoAu ndiyo sababu ya wachina kuanza kutoa milio!!
Kwahiyo sisi wooote humu wajinga mwerevu wewe !? TAFAKARI Sasa nani mjinga.Nyinyi ng'ombe wa insta na X mtamezeshwa sana upupu bila maji huko mitandaoni
Sababu akili ya kinyumbu ubongo size ya piriton, hamna uwezo wa ufahamu, ni kama akili zilizojaa tope na kamasi zinateleza na upupu wowote mbele yao.
Lakini Samia amekiri hadharani kuua watuICC haina tatizo lolote na rais Dr Samia. Pia hilo mnaloliwaza sio rahisi kama mnavyodhani.. yaani HAIWEZEKANI Dr Samia kupewa wito wowote na ICC. Halafu msiikuze sana ICC bila sababu.
Au ndiyo sababu ya wachina kuanza kutoa milio!!
Usisahau kirefu cha ICC ni International Criminal CourtHalafu msiikuze sana ICC bila sababu.
Makebo, kumbe wewe ni mwendawazimu kiasi hiki!! Kama una hoja au taarifa, stick to the matter, siyo kubwabwaja hivi.Nyinyi ng'ombe wa insta na X mtamezeshwa sana upupu bila maji huko mitandaoni
Sababu akili ya kinyumbu ubongo size ya piriton, hamna uwezo wa ufahamu, ni kama akili zilizojaa tope na kamasi zinateleza na upupu wowote mbele yao.
Hajui chochote katiwa ufunguo asifie mauaji hadi mwenye ufunguo auchomoe.As of now hakuna pesa yeyote inaingia TZ kutoka EU au beberu yeyote, Visa zimeshaanza kupigwa pini hata kwa maofisa wa serikali ya TZ( you know what that means), reserve ya BOT ya 3 months ikiisha na mkaanza kupanga foleni kununua kiwese akili itarudi, kwa sasa wajinga endeleeni kujiona mmeshinda, nyie ni maskini wa kutupa hata Rostam anaweza kuwapa sanctions mka suffer nchi nzima
Nilitegemea utakuja na jipya kumbe badoMzee kuna kada wa Chadema aliahidi kukuoa akaishia kukuzalisha akatokomea?
Kumbe na wewe ni msukule wa Mange na Maria?!! Inasikitisha sana
Unadhani ICC ni Kisutu, simu moja tu kesi imeisha.Mnaodhani Samia atawajibishwa na ICC I've got an ocean to sell you.
-hawa jamaa watakufa mapema na stroke kibao we subir ni swala la mudaKumbe na wewe ni msukule wa Mange na Maria?!! Inasikitisha sana
Kila anayekatiza mbele ya macho yao wanaanza kujitilisha huruma kwake wakidhani anao uwezo wa kuwasaidia.ICC haina tatizo lolote na rais Dr Samia. Pia hilo mnaloliwaza sio rahisi kama mnavyodhani.. yaani HAIWEZEKANI Dr Samia kupewa wito wowote na ICC. Halafu msiikuze sana ICC bila sababu.
Mbona hawamkamati Trump?Usisahau kirefu cha ICC ni International Criminal Court
Maana yake wale Criminals wa kimataifa ndio wanapelekwa huko wengi hufungwa wengine uponea-ponea kwenye tundu la sindano, sio kwamba haifanyi kazi na sio ya kudharauliwa kihivyo km unavyofanya wewe sababu haujui ina-operate vipi
Bara mliendeshwa na kina TEC, Gwaj na Chadema kufanya uhasi na mapinduzi kwa kutetea Imani na mkajificha kwenye kichaka cha neno haki ( sikatai kuna madhaifu na dhuluma pia za chama dola kwa baadhi ya mambo ) lkn ukereketwa ulitoka kwenye chanzo sio sahihi ndo maana hata watu wengi wenye akili timamu hawajaunga mkono hayo mambo, maana waasisi wake ni wakereketwa wa mambo ya Imani zaidi kuliko kupigania hizo haki zinazosemwaHuwezi kuachiwa kuua ua waTanganyika ovyo kisa madaraka!
Eti Zanzibar pako shwari waulizeni vijana Dar es Salaam kama watarudia kutoka barabarani.