AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Trump unamfanisha na Bibi Chura? Ambae akienda UK tu hapo kwa Malkia/Mfalme anapandishwa kwenye Coaster ya Kariakoo amebinyana na wenzie wakati huo Trump katulia kwenye Limousine peke yake anawachora tu.. punguza ujingaMbona hawamkamati Trump?
Sijaona jibu la swali nililouliza zaidi ya mipashoTrump unamfanisha na Bibi Chura? Ambae akienda UK tu hapo kwa Malkia/Mfalme anapandishwa kwenye Coaster ya Kariakoo amebinyana na wenzie wakati huo Trump katulia kwenye Limousine peke yake anawachora tu.. punguza ujinga
Nimekuuliza unamfananisha [Trump] na nani?Sijaona jibu la swali nililouliza zaidi ya mipasho
Nimeuliza hivi "KWANINI HIYO ICC HAWAMKAMATI TRUMP?". Maana yeye ni mhalifu namba 1 duniani kwa sasa
Kwahiyo kuna double standards hapa duniani si ndiyo?Nimekuuliza unamfananisha [Trump] na nani?
You are rightSidhani kama kilichotokea kilipangwa kiwe vile? It was an urgent reaction to counteract the action.
Kwani wewe ni msukule wa nani.Kumbe na wewe ni msukule wa Mange na Maria?!! Inasikitisha sana
Trump popote na siku yeyote akitaka anamfikia mtu yeyote, juzi kamnyakua rais leo yuko kwa wavaa makobazi Iran.Kila anayekatiza mbele ya macho yao wanaanza kujitilisha huruma kwake wakidhani anao uwezo wa kuwasaidia.
Trump aache kuiweka mbele USA anayoingoza aje kushughulika na wanaharakati wa kibongo.
Wanadhani kwenda ICC ni sawa na kwenda ferry kufuata mboga ya samaki.
Kwa hapo palipoandikwa JWTZ walinde mipaka, panafanya stori nzima kuwa na shaka.Wajuvi wa mambo wanasema ndio sababu kubwa ya kuwateua Dr. Mpango na Majaliwa na Kabudi kuwa washauri wake.
Soma Pia: Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague
View attachment 3528815
Number ya raia wa USA alio waua ktk utawala wake Iko wapi tupeleke ushahidi ICCMbona hawamkamati Trump?
Kuongea kwa kujiamini ni mbinu kwa ajili ya kuwakatisha tamaa wananchi wajihisi hawana cha kufanya tena. Haina uhusiano wowote na uwezo wake wa kukabiliana na shinikizo la kimataifa iwapo wakubwa wakiamua kulivalia njuga.Kiukweli mimi sioni ingawa ilitakiwa iwe hivyo. Wamefanya wakijua matokeo maana yake walijipanga mda mno wakaanalyse matokeo yake na kuja na majibu.Waliyoyafanya waliyajua na wakaweka mipango thabiti ndo maana anaongea atakavyo na aliandaa vikosi kabla na baada na anasema azarani. Yule kiukweli hata kama yuko shit hole coantries ila hagusiki na hawezekani. Ukweli mchungu nimeukubali baada ya tangu 29 kwa zile tambo wanajua kitu kinavyoendelea. Wao ndo washindi! Tuendelee kumuachia Mungu!๐๐Kama kuna kitu kitatokea basi ndo kinaitwa muujiza
Fake newsWajuvi wa mambo wanasema ndio sababu kubwa ya kuwateua Dr. Mpango na Majaliwa na Kabudi kuwa washauri wake.
Soma Pia: Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague
View attachment 3528815
UsifananisheWaambieni ICC wawakamate Trump, Netanyahu na Putin kwani Uhalifu wanaoufanya hawa Samia hata robo yao tu hafanyi
Nisifananishe nini. Hao Marekani ndio magaidi, madikteta, majambazi na weziUsifananishe
Unaanzaje kumpeleka Marekani ICCNumber ya raia wa USA alio waua ktk utawala wake Iko wapi tupeleke ushahidi ICC
Unadhani ICC ni Kisutu, simu moja tu kesi imeisha.
Kiukweli mimi sioni ingawa ilitakiwa iwe hivyo. Wamefanya wakijua matokeo maana yake walijipanga mda mno wakaanalyse matokeo yake na kuja na majibu.Waliyoyafanya waliyajua na wakaweka mipango thabiti ndo maana anaongea atakavyo na aliandaa vikosi kabla na baada na anasema azarani. Yule kiukweli hata kama yuko shit hole coantries ila hagusiki na hawezekani. Ukweli mchungu nimeukubali baada ya tangu 29 kwa zile tambo wanajua kitu kinavyoendelea. Wao ndo washindi! Tuendelee kumuachia Mungu!๐๐Kama kuna kitu kitatokea basi ndo kinaitwa muujiza
Kwanini wajitoe kama wanajua ICC haitawasumbua.
You people deserve a ๐ ๐ฅ ๐ sio wengine wanaandika utumbo harafu wanataka tuuamini...!Kiukweli mimi sioni ingawa ilitakiwa iwe hivyo. Wamefanya wakijua matokeo maana yake walijipanga mda mno wakaanalyse matokeo yake na kuja na majibu.Waliyoyafanya waliyajua na wakaweka mipango thabiti ndo maana anaongea atakavyo na aliandaa vikosi kabla na baada na anasema azarani. Yule kiukweli hata kama yuko shit hole coantries ila hagusiki na hawezekani. Ukweli mchungu nimeukubali baada ya tangu 29 kwa zile tambo wanajua kitu kinavyoendelea. Wao ndo washindi! Tuendelee kumuachia Mungu!๐๐Kama kuna kitu kitatokea basi ndo kinaitwa muujiza