Je, ni kweli Samia amepokea wito wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC?

Ukifuatilia kwa makini Kesi ya Samia ni baina ya Serikali (Majeshi) na wananchi .Kesi ya Uhuru na Ruto ilikuwa baina ya Raia Kwa Raia .Ni kesi mbili tofauti

It doesn't matter. ICC haiwezi kufanya lolote lile, hawawezi kumfungulia hata kesi let alone kumshtaki na kumtia hatiani. It ain't gonna happen.

Naona hiyo barua fake imewapa false hopes kama wengi walivyodhani samuya ataachia ngazi kwa maandamano tu. Huko ni kujilisha upepo. Simkubali samuya ila kuna uhalisia pia ambao hamtaki kuusikia. Mimi nashangaa watu na akili zao wanaizingatia ICC hadi leo!
 
Umetoa hoja nne zote za kurukaruka maana unatambua hauna hoja ya maana.

Pia kujitoa ICC hakuiondolei mamlaka ICC kwa mambo yaliyotokea wakati ukiwa mwanachama. Kutojua hilo kunaonyesha hauwezi kuwa na ufahamu wa kutosha wa mambo haya.

Get back to me ICC wakitoa hati ya kumshtaki Samuya. Naona hii barua fake imewapa false hopes kama mlivyoamini Samuya ataachia ngazi kwa maandamano. Good luck
 
Mbona Kikwete alishindwa kumpa Urais Membe? Si ndio alimuandaa?

Mnawaona Watanzania kama matako yenu.
 
Get back to me ICC wakitoa hati ya kumshtaki Samuya. Naona hii barua fake imewapa false hopes kama mlivyoamini Samuya ataachia ngazi kwa maandamano. Good luck
Barua feki ipi hiyo?
 
Mkuu, na wewe unaamini ICC itamuwajibisha Samuya?
ICC hao hao walioruka na
Jean Pierre Bemba
Dutete
Charles Tyler

ICC hao hao waliotoa arrest warrant Kwa
Putin
Netanyau

Kwamba unaijua ICC kuliko waliopereka kesi kina Intelwatch na Madrid Bar Association

Kwamba unajua sana kuliko wakili wa ICC mhispania Rodriguez anayewakilisha wananchi

Kama hakuna hakuna atakachofanywa Samia mbona unatoa povu🤣

We tulia ikifika 2028 na Samia hajafunguliwa kesi njoo utambe

But let me assure you arrest warrant Samia haikwepi
 
Wapi niliposema naamini? Unaelewa swali nililokuuliza?

Urais wanapeana wao Wenye-nchi. Kura za Wana-nchi ni kupoteza muda tu. Samuya na wenzake wataamua nani wa kumpa 2030.
 

Jean Pierre Bemba - Incumbent Deputy Prime Minister of Transportation, DRC.
Duterte - Incumbent mayor of Davao City.
Putin - Incumbent President of Russia
Netanyahu - Incumbent PM of Israel

What does ICC do exactly?

The International Criminal Court (ICC) has a low conviction rate, with reports showing around 11-13 convictions and several acquittals out of dozens of cases and many individuals charged over its history, leading to significant criticism for its slow pace and limited impact, though the exact numbers vary slightly by source and time
 
Hapa unatwanga maji kwenye kinu
Nyumbu humu zimejitoa hasa kuamini ICC itamkamata samia wapige vigelegele
Hawata kuelewa
Kama unayosema ni kweli kwanini Samia na washauri wake wanahangaika kuwarudisha Mpango na Majaliwa waliokwishaondoka serikalini ; kuwarudisha tena ni kuogopa kuwa wanaweza kutoa ushahidi dhidi yake iwapo watakuwa mbali nae!! In other words anawaleta karibu ili nao waunganishwe kwenye mashitaka ya ICC!!! Huyu kiumbe anatapa tapa kutokana na damu za yatu aliowaua.
 
Good for you !!

Hii ni habari njema kwako na serikali yako.Endeleeni kula maisha .
 
Ni kweli mkuu. Kutokana na sasa yupo madarakani ofcourse sio rahisi kumwajibisha hata kama akionekana ana hatia. Lakini usalama wake utategemea zaidi kama Rais ajae ataamua kumlinda au la.
 
Ni kweli mkuu. Kutokana na sasa yupo madarakani ofcourse sio rahisi kumwajibisha hata kama akionekana ana hatia. Lakini usalama wake utategemea zaidi kama Rais ajae ataamua kumlinda au la.
Hapo ndo shida ilipo sasa. Mambo ya kutegemea hisani ya mtu hatari sana. Na hizi siasa zake anaweza kuja kuwa wa mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…